Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Ooh jamanio[emoji7][emoji7] nakupa baraka jamani. Pokeaaa baraka hizi. Palipokupungukia mola akakuongezeee. Usipumgukiwe hata kidogo...

Ila sijui huwa niko too emotional jamani[emoji28][emoji28][emoji85]
 
Ooh jamanio[emoji7][emoji7] nakupa baraka jamani. Pokeaaa baraka hizi. Palipokupungukia mola akakuongezeee. Usipumgukiwe hata kidogo...

Ila sijui huwa niko too emotional jamani[emoji28][emoji28][emoji85]
Amina, Barikiwa pia mkuu.
 
Mstaafu ....... Alikuwa mhasibu.......

Anakunywa Sana.

Anapenda kusafiri.

Anapenda mashamba.
 
Mstaafu ....... Alikuwa mhasibu.......

Anakunywa Sana.

Anapenda kusafiri.

Anapenda mashamba.
Okey..

Kwanza mtu anayekunywa ni very easy going. Rahisi sana..

Kuwa na tabia ya kimnunulia pombe anayoutumia. Sometimes mbadilishie ajaribu taste mpya. Eg. Kama alikua anapenda st. Anna basi mpelekee jameson, drostoff, etc..

Na kama ni mstasfu naamini alikua anajipenda sana. Mpatie vitu vikali kama kawaida, kiatu, nguo, belt nzuri, perfume maana hakuna wababa wanakufaga kwa upweke kama wastaafu. Walishazoea kila siku kwenda kazini. Wanapokua ni kulala tu acha kbs.

Kuwa na tabia za kutoka nae out mara kadhaa. Mspoil asijisikie mpweke kabisa. Yaani inatakiwa akione bado yuko kwenye form.

La mwisho.. mnunulie tiket yeye na mke wake waende vaccations. Ama fuel cash etc aweze kujikimu endapo umejaaliwa kipato. Zawadi haijawahi kosekana bwana.
 
Mnunulie bhana mom afurahie uwepo wako.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Ndio,Mara kibao tu.Hela za Bia,nguo,viatu,perfumes.Nilikuwa namuhusudu sana Baba yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Baba paroko ali blow mapigo ya babu mangi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Eeh. Anamtaka mchepuko wake. Ila babu alikua babylon jaman. Sema waliacha mpa hela nyingi. Bado alikua anakula penshen yake. Halaf alikua anapenda show off. Akienda buchani kwamfano anafungua wallet yake kukiwa na wamama wengi[emoji23] anachomoa hapo msimbazi wake analipa anaishia. Kwahiyo kama unataka asali fata nyuki. Hawa wazee ukiwapa hela nyingi ni tatizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu babuuh yako alikua daddie sana kwa wanawake.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Zawadi nzuri kwa wazazi wako ni kuwajulia hali mara kwa mara, tenga muda wa kuwatembelea na PESA ,kisha PESA halafu unamalizia na PESA .

Hata kama utapeleka sijui sukari na nini ila PESA IWEPO.

N.b
Pesa unaigawa mara tatu yaani unampa mama mzee akiwa anaona na unampa mzee mama akiwa anaona halafu unamwita mzee mzungumze kisha unampatia nyengine ambayo hii ndo itakuwa yake sasa maana ile mama aliyoiona ni ya wote .
 
Unampa ata saa mzee au Kama nimpenzi wa soka Kama mm mxhua wangu nilimpa zawadi ya jez ya simba japo m yanga ila nikakaza roo😄asee nilikuwa Niko form3 na huo ndi
o ulikuwa mwanzo wakuwa masela sio POA mpk leo dingiii ananikubali kiku**
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…