Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Fact 100%, majuzi nilikutana na mate mmoja alikuaga pini hataree kipindi tupo o-level (alikua anazimiwa mpaka na maticha), lakini saivi ukimuona mpaka huruma. Uzuri umefifia na unaelekea kufa,amekua wa kawaida sana, figure imepotea yani dah !!! Ndo mana wakat mwingine wanaume wanawachukia wapenzi wao bila sababu za msingi, yote ni kwa sababu hii ya mabadiliko ya uzuri
 
Yes nikiwa form four kuna kaka alikuwa anaitwa Rama...alikuwa kijana fulani hivi mstaarabu sana japo mcheshi, amepanda hewani ana weusi fulani hivi ameizing. Ila tofauti na wewe mimi ilikuwa ni kwa kitambo tu nikikutana nae hata leo kawaida tu.
 
Nilimpenda kisichana kimoja cha kiarabu nilipo kuwa chekechea.pale baptist.ila sikumpata
Mie nina hamu kukutana na dhali kama hilo la toto la kiarabu

Sometime nawaza kitembelea Kahama,Tabora Pangani pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…