Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Fact 100%, majuzi nilikutana na mate mmoja alikuaga pini hataree kipindi tupo o-level (alikua anazimiwa mpaka na maticha), lakini saivi ukimuona mpaka huruma. Uzuri umefifia na unaelekea kufa,amekua wa kawaida sana, figure imepotea yani dah !!! Ndo mana wakat mwingine wanaume wanawachukia wapenzi wao bila sababu za msingi, yote ni kwa sababu hii ya mabadiliko ya uzuriClass mate niliyewahi kumpenda sasa hivi amechoka mpaka najiuliza kitu gani nilimpendea.... Then nikakumbuka kuwa alikuwa katika lile rika la kuvunja ungo, kila binti huonekana mrembo but akishafikisha miaka ishirini ndio sura na umbile lake halisi huonekana.