Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Ulishawahi kumpenda Classmate wako?

Class mate niliyewahi kumpenda sasa hivi amechoka mpaka najiuliza kitu gani nilimpendea.... Then nikakumbuka kuwa alikuwa katika lile rika la kuvunja ungo, kila binti huonekana mrembo but akishafikisha miaka ishirini ndio sura na umbile lake halisi huonekana.
Fact 100%, majuzi nilikutana na mate mmoja alikuaga pini hataree kipindi tupo o-level (alikua anazimiwa mpaka na maticha), lakini saivi ukimuona mpaka huruma. Uzuri umefifia na unaelekea kufa,amekua wa kawaida sana, figure imepotea yani dah !!! Ndo mana wakat mwingine wanaume wanawachukia wapenzi wao bila sababu za msingi, yote ni kwa sababu hii ya mabadiliko ya uzuri
 
Yes nikiwa form four kuna kaka alikuwa anaitwa Rama...alikuwa kijana fulani hivi mstaarabu sana japo mcheshi, amepanda hewani ana weusi fulani hivi ameizing. Ila tofauti na wewe mimi ilikuwa ni kwa kitambo tu nikikutana nae hata leo kawaida tu.
 
Back
Top Bottom