Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tuko pamojaMimi ni kutamani tu kunanitesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamojaMimi ni kutamani tu kunanitesa
Madam juzi kati niliona sehemu unasema mmeshibana vilivyo na shemeji yetu ndani ni urafiki na mahaba tele hadi nikawa inspired kwa kweli nifate nyendo zenu, au sjui nachanganya madesa 🤔 au we ndo umemix, umem like Mr madolare sio ku love 😂😂Ilikua ni juzi crdb vijana
Kijana mrefu yupo dawati la kuandika karatas za deposit/withdraw sikumzingatia na mimi nikavuta kamba kuanza kuandika ile anatoa beg kufungua kushika mkononi kilichomo ndani ya begi ooooh ni dol mia mia za kutosha ndo kumgeukia dah kijana handsome yule nikafall in love pale pale
Ndie mke wangu sasa hivi. Nilimwona akiwa form form four akiwa Easter conference. Siku hiyo nimemwona ndio siku ambayo niliapa nikifanikiwa kumpata ndie nitakaeo muoa. Sasa hivi tuna watoto wawiliWanaJF tiririkeni Love at the first sight 😍😍😍😍
Muvi la kihindi *****Mie ilinitokea kwenye airport moja nasubiri kubadilisha ndege ghafla uso kwa uso,macho kwa macho, tabasamu kwa tabasamu ....alikuwa ni msichana wa kiburushi tukajikuta tunasogeleana alikuwa umbali wa kama mita 17 hivi....wakati zimebaki mita saba ghafla tangazo ndege yake iko tayari anapaswa kuingia mstarini.....duuh tukabaki tukiangaliana tu kwa tabasamu kwa kadiri alivyokuwa anazidi kupotea ndivyo alivyokuwa anazidi kuwa mwekundu na kutokwa na mchozi walahii...sijui yu wapi kwa sasa.
Unangoja akucheki....wewe ni salary???Ilinitokea kwa pisi moja ivi ilikuja mtaani kwa mamdogo wake, hatukuwahi kuwa na mahusiano ila ndio mara ya mwisho kuuza mechi, yule mtoto ni mlaini sijawai ona.
Kwa sasa ni singo mazeri ananitafutaga anadhani sijui kama ana mtoto.
Mwingine ni majuzi tu, macho yalikutana nikamkazia akashusha yake kwa aibu(ana macho mazuri haswa), anakuja kurudia kuniangalia akakuta mwamba bado nampimia akatabasam nikajisemea mkeka umetiki, nikamfuata nikamsifia kapendeza na ni mzuri akashukuru, tukajitambulisha nikaomba namba akaomba zangu, nikampa. Bado nangoja anicheki [emoji41]
Hapa kijiweni tu tunachangamsha gengeMadam juzi kati niliona sehemu unasema mmeshibana vilivyo na shemeji yetu ndani ni urafiki na mahaba tele hadi nikawa inspired kwa kweli nifate nyendo zenu, au sjui nachanganya madesa 🤔 au we ndo umemix, umem like Mr madolare sio ku love 😂😂
😂 Najua my sis, na me nakuchangamsha tu siku nyingi hatuja interact boss.Hapa kijiweni tu tunachangamsha genge
Chezea usd rate ya 2690 lazima uzame in lov
heeMimi nimekupenda wewe at the first sight na nitakubandua at the second sight na kukuacha at the third sight
nimeshangaa tu ilikuwa at first sight
Mbona unashangaa vipi
Sure kabisa kaka😂 Najua my sis, na me nakuchangamsha tu siku nyingi hatuja interact boss.
Alikuwa na kasumba gani kwani Mkuu ?Nilifall in love kwa bint mmoja baadae tukaachana kila nikitizma picha zake najiuliza nilimpendea nini mpka naiunua mikono juu kushukuru kutengana na kile kiumbe