Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

Haijawahi tokea hio kwangu ila matananio at first sait ukiwa crub(crab) zile taa taa unaona kabisa hapa ndo penyewe hivi kwanini nisimuowe awe mahi wangu lakini kwa leo ngoja tukatest mitambo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ

Unamfata huku unajua kabisa kesho asubuhi yatakua ni majuto makuu kuna kombora la after makeup utapigwa nalo asubuhi ila saa hio akili ya upstairs haioperate inakua off kijana wa basement ndo anakua kaachiwa madaraka

Na kweli kabisa

Rrrrrrrraiiit oonnn taiiiiimmm kesho inakuwa horror at first sight bia zikiwa zimeisha kichwani
"Gucci gang gucci gang gucci gang gucci gang gucci gucci gang, i fvckd a bxtch i forgot her name"

hyo comment yako imeendana na username yako mkuu ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ ila lil pump ni wack rapper ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Asee mm sipendi tena.. nipo kipindi cha kutamani tu.. aa tamaa itaniua.. mizigoooooo
 
Nilienda kwenye harusi ya rafiki yangu wa karibu sana alikua anaoa
Nilifika Mwanza ijumaa saa 8 usiku, kesho yake tukaenda kanisani kisha ukumbini jioni

Wakati wa foleni ya kwenda kula, nikiwa na sahani yangu nikafika usawa kwa bidada mmoja alikua anapakua ndizi..... ile kunyanyua uso kumuangalia macho yakagongana nikaona kama nimeona malaika vile, from nowhere ikawa ni kama nimemuona mtu niliyekua namtafuta kitambo, mapigo ya moyo yakaongezeka nikapigwa na bumbuwazi
Akatabasamu na kuniwekea ndizi, nikaona ni buy time zaidi nikamwambia niongeze, akaniongeza ndizi nyingine, nikamwambia niongeze, akaniongeza, nikamwambia asante sana

Ilibidi nikae hadi mwisho wa harusi namvizia hadi walipo anza kukusanya vyombo nikamfuata na kumshukuru kwa ndizi alizonipa, akacheka
Kilichofuata niliitelekeza tiketi yangu ya kurudi Dar Jumapili nikakaa Mwanza siku 5

Baada ya hapo nilituma sana nauli akaja Dar mara kibao hadi alipoolewa
 
"Gucci gang gucci gang gucci gang gucci gang gucci gucci gang, i fvckd a bxtch i forgot her name"

hyo comment yako imeendana na username yako mkuu ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ ila lil pump ni wack rapper ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bro say less

That nigga wack Af

Siku najiunga kila jina nlilotaka kuweka limebebwa nikachoka nikatia gucci gang

Imoo๐Ÿ˜
 
Hiyo 2014 Ifunda Tec pale.
Mtoto mmoja white sana sura ka ya mdori form V huyo dah sio poa.
Sikuwa mtu wa kuingia Class mara kwa mara, hiyo siku nikaingia zangu Class kimanyato sana ila sikuweza kaa hadi time ya kutoka ifike maana ilikua n suara gumu sana kwangu, mapema tu mishale flani hivi ya saa tatu nikang'atuka kurudi Bweni ile natoka nafika getini tu(Karakana) dah mtoto huyu hapa sio poa ana sura ya ukoo mzima, nilijikuta namkazia macho kwa mshangao nikiutafakari ukweli wa ninachokiona. Asee nikaingia zangu Domu brain imevurugika kabisa nikajuta kwann niliingia Class siku hiyo. Dah huyo dogo alinivuruga sana kila nikawa namwinda nimuone tena ila naye alikua manyato sana muda mwingi Class-Dom-Jid.
Nikajikuta natumia Xyz kumnasa daaaa sio poa alinivurugaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom