Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

KE wengi hulalamika kuwa tunawafuata huko PM ukweli hata sisi ME tunasumbuliwa sana.Kuna KE wengine humu wako mawindoni utawatambua kwa comment zao Mara paap kwenye PM. Kuliendeleza au Ku mute inabaki ni issue ya majaaliwa.

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo siyo kutumiwa ujumbe au kusumbuliwa PM, tatizo ni uharamia unaofanywa na watu waovu huku mitandaoni. Tunawindana kama wanyama, hasahasa pale unapokuwa mkosoaji mkubwa mwenye mawazo ya tofauti ua ushawishi dhidi ya chama tawala. Matapeli nao hawako nyuma, wameumiza watu wengi sana humu ndani. Usipokuwa makini utaumizwa vibaya,.........
 
Neno mkuu..
Tuwe makini tu Mkuu Kaboom, binafsi hii ID hii imetumiwa na watu wengi kwa nyakati tofauti-tofauti ( MALCOM LUMUMBA) ni zaidi ya mtu mmoja hivyo siyo rahisi kukishawishi kikundi cha watu. Lakini ningekuwa mimi peke yangu huenda ningekuwa nishashawishika na ofa zinazotolewa. Tanzania is not a safe country anymore, but most people do not realise this: We live in a de-facto Mafia State full of malignant and evil people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…