Nilisema nimeiona avatar yake ikiyumba yumba lakini si kwenye huu uzi.Halafu nimekumbuka ulisema uliona avatar yake inayumbayumba mahali humu nikakuuliza ameshacomment humu au bado? Hivi ulishanijibu?
😂😂😂😂Nimeshajileta.🤣🤣🤣hatari sana Chief
Kwako nimekubali kuvunja masharti yote niliyoyaweka😂😂😂😂
Najua uliapa hutasema, hatari sana mkuu!
😂😂😂😂. Aaah wapi bwana wewe!Kwako nimekubali kuvunja masharti yote niliyoyaweka
😄😄😄
Hatari sana shekhe
Umeona mambo yako ya tomaso..😂😂😂😂. Aaah wapi bwana wewe!
Mmmmmmmmmh!!!!!Niache basi Karma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe mfukunyuku.
Shem na wewe umeanza lini ufukunyuku?😂😂😂Mmmmmmmmmh!!!!!
Nafuatilia kujua hiyo Tag... [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani wengine kupangilia mavazi hawawezi
[emoji28][emoji28][emoji28]Mtaje Bwana Shem tumalizane na hii habari.Shem na wewe umeanza lini ufukunyuku?[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida itakuja pale unachokidhania kua tofauti na uhalisia,nipo kwenye halo kama hiyo napendana na mtu ambaye sijawah hata kumuona,
Umenena vyema, nimependa hapo you eat devil's food, you pay devil's bill😂😂😂😂Binafsi nimewasiliana na wanachama wengi humu ndani (ME + KE), lakini mbali na kuleteana masikhara na kudanganyana kule PM sijawahi kabisa kutaka kufahamiana na mtu humu ndani. Naamini kuna waliokuwa na nia njema na wako Genuine, lakini waovu, wauaji, watekaji, mamluki na matapeli wako wengi sana mitandaoni. Hivyo wale watu wema wanisamehe tu.........
Nashauri vijana, hata kama umependa na kuvutiwa na mwandiko wa mtu, fahamu kwamba huku kwenye mitandao kila mtu huonekana ni malaika japo uhalisia hauko hivyo. Nawafahamu watu ambao wameshaumizwa na kuvurugwa kisa haya mawasiliano ya humu JF, Twitter na Instagram. Binafsi nimewahi kutumiwa links za mitego na E-Mails nyingi huko PM.
Wengine wanaanzia mbali kwa kujenga urafiki mimi nawachora tu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii. Huko PM nimepewa ofa kubwa za kufa mtu, wengine wanasema wananipenda sana (wanajaribu kunijaza Sweet-Nothing) , wengine wananiletea vitisho,wengine wanataka ushauri, wengine wananiletea umbeya na majungu, wengine wanakuja kunimwagia misifa. Sasa kama ukiwa na kichwa kibovu itakula kwako. There's No Free Lunch in the World: You Eat the Devil's Food, You Pay the Devil's Bill....
Ila kama umempenda mtu wewe jilipue at your own risk, lakini kaa ukikumbuka kwamba waliomo humu ndiyo haohao wa mtaani kwako. Tanzania ya leo imejaa watu waovu wengi mno, tumefika pabaya sana, kuwa makini (Be vigilant and don't have unrealistic expectations).....
Una nakosea ndugu Mgonga Like ???
Simtaji ng'o, hata kwa bastola asee shem.[emoji28][emoji28][emoji28]Mtaje Bwana Shem tumalizane na hii habari.
Nakuona tangu juu huko sikuelewi kabisa.
Dah!!!Ninong'oneze hata mimi ShemSimtaji ng'o, hata kwa bastola asee shem.
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili linawezekana kabisa nitamwambia yeye kama yeye siku malaika wa Bwana akishuka pande zote za dunia..lakini huku ndani JF..hapana aiseh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Macrush wetu ni spesho sana ingawa na wao wanawataja wengine.wivu kwa mbaaaaliii basi tu moyo usipate pumziko [emoji1][emoji1]
Kwa kuwataja humu ee...eheee wewe ni jasiriAisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yawezekana huu ujasiri ninao mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Liza...nani sijui huko hajakutaja.na vipi Jack bila bila😄😄hatari sanaThis thread[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji119]
Wengine hadi Sasa bilabila mweeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]