😂😂😂Yule mtani wangu aiseee kumbe mmeunga doti paleHata mimi namjua[emoji23]
Niliona umemwita kwenye uzi fulani kwamba aje kuangalia unavyotiririka.
Ukamwambia huwezi kufa na tai shingoni..
Akakuuliza ni uzi gani?ukapotezea haukumjibu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yani humu inabidi mtu kuwa makini..ukishangaa shangaa hukawii kukuta mwandiko wako umelowana maji ya moto
[emoji16][emoji16]
Mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeichoka hii panda Shula ya kwenye Haya mabonde na milima ya miandiko.ngoja nilale kichwa chaniuma
Kwani umemtaja mwingine tena?[emoji23][emoji23][emoji23]Yule mtani wangu aiseee kumbe mmeunga doti pale
Aisee mnataka kunigombanisha na baby wake ngoja niwaache.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile ap
Tupe tu hata hints basi, tupambane wenyewe[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Weeeee niache kabisa, simtaji ng'o.
Hee!Aisee mnataka kunigombanisha na baby wake ngoja niwaache.
Mnaunga doti kwa mtu ana bae wake humu.
Lakini hata akiwa naye,kumpenda siyo dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaunga doti kwa mtu ana bae wake humu.
Mtakatifu nimeona ile page.🤪🤪mbona sio yeye sasa loh!!tangu siku ile nilikwambia sio yeye.Lakini hata akiwa naye,kumpenda siyo dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣zimefanyaje kwaniMbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣ni shida aiseh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ati umelowana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwani hawezi kuwa crush wako ikiwa nae anabae wake humu ndani😆😆😆Hebu hukoooo 🤪🤪Mnaunga doti kwa mtu ana bae wake humu.
Nini kilitokea?View attachment 1759981
Mlimbwende yule, mbali na uzuri wake wa mwili, ana kila aina ya sifa njema na ni 99.99% wife material kabisa. We became very close friends na wasiri wakubwa...mpaka lilipotokea la kutokea. Hatukuwahi kuonana ila ungetuona ungedhani kuwa tumefahamiana kuanzia chekechea huko. Huwa namuombea apate mume atakayemwelewa na kumpa ndoa ya amani na furaha...na bado naamini siku moja pengine nitapata bahati ya kumuona hata kama ni kwa sekunde moja!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni nani [emoji41][emoji41]
mwaya karma wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata nikimtaja atamkataa
Chai hii[emoji26]Nishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]