Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hata mimi namjua[emoji23]
Niliona umemwita kwenye uzi fulani kwamba aje kuangalia unavyotiririka.
Ukamwambia huwezi kufa na tai shingoni..
Akakuuliza ni uzi gani?ukapotezea haukumjibu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
😂😂😂Yule mtani wangu aiseee kumbe mmeunga doti pale
 
Lakini hata akiwa naye,kumpenda siyo dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mtakatifu nimeona ile page.🤪🤪mbona sio yeye sasa loh!!tangu siku ile nilikwambia sio yeye.

Hizo sifa alizozitoa hapo nahisi ndo za huyoo mchumba wake.

Nilikwambia mtakatifu hii kitu huwezi igundua aiseh..

Bora code bado haijaweza kufunguliwa
 
View attachment 1759981
Mlimbwende yule, mbali na uzuri wake wa mwili, ana kila aina ya sifa njema na ni 99.99% wife material kabisa. We became very close friends na wasiri wakubwa...mpaka lilipotokea la kutokea. Hatukuwahi kuonana ila ungetuona ungedhani kuwa tumefahamiana kuanzia chekechea huko. Huwa namuombea apate mume atakayemwelewa na kumpa ndoa ya amani na furaha...na bado naamini siku moja pengine nitapata bahati ya kumuona hata kama ni kwa sekunde moja!
Nini kilitokea?
 
Back
Top Bottom