Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Mimi crush wangu anajijua

Ngoja nimwite aje atoe ushuhuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mweee ni nani huyo jamani aliyeipoteza hito bahati?mtaje tumseme hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Atakuwa hakutendei haki. Au wewe humtendei haki. Au pengine hamtendeani haki.

Mtaje!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji7]
Itakuwa hatutendeani haki kweli.
Ilibidi ajitokeze mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine anaona haya! Pengine mwanaume kwa mwanaume anaweza akaelewa akajitokeza.

Kama hautojali nikusaidie kumuita?

(Bila shaka sitokuwa nje ya fikra zako, ni yule jamaa jina lake linaanza na herufi ---!)😂 😂 🤣...ana muonekano wa ki-Irish au Scotland hivi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji7]
Itakuwa hatutendeani haki kweli.
Ilibidi ajitokeze mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wow!

Nilipita kwa haraka! "Ilibidi ajitokeze mapema" kumbe alishajitokeza?!

Kweli mambo mazuri hayahitaji haraka! Kauli(nia) ni nauli, safari(uthubutu)ni vitendo! Unaona? Huwezi jua njiani kulikuwa na nini! Amekawia lakini amefika!

Ni suala la muda tu na imani kwa kujua ni kipi unachokihitaji! Ni kama jina lako tu Mtakatifu.

Kipi kingine ninachoweza kuandika zaidi, sidhani! Ni dunia yenye maajabu iliyoje?
 
Pengine anaona haya! Pengine mwanaume kwa mwanaume anaweza akaelewa akajitokeza.

Kama hautojali nikusaidie kumuita?

(Bila shaka sitokuwa nje ya fikra zako, ni yule jamaa jina lake linaanza na herufi ---!)😂 😂 🤣...ana muonekano wa ki-Irish au Scotland hivi?
😂😂😂😂😂😂😂
Hebu mtaje,nitakuambia kama umepatia ama umekosea.

Halafu sijaona ukimtaja crush wako☺️,mtaje basi nimshuhudie huyo dada mwenye bahati yake hapa duniani.
 
Wow!

Nilipita kwa haraka! "Ilibidi ajitokeze mapema" kumbe alishajitokeza?!

Kweli mambo mazuri hayahitaji haraka! Kauli(nia) ni nauli, safari(uthubutu)ni vitendo! Unaona? Huwezi jua njiani kulikuwa na nini! Amekawia lakini amefika!

Ni suala la muda tu na imani kwa kujua ni kipi unachokihitaji! Ni kama jina lako tu Mtakatifu.

Kipi kingine ninachoweza kuandika zaidi, sidhani! Ni dunia yenye maajabu iliyoje?
Hahah!
Hammaz bwana,
BTW nilimiss kusoma huu uandishi na mwandiko wako.
 
😂😂😂😂😂😂😂
Hebu mtaje,nitakuambia kama umepatia ama umekosea.

Halafu sijaona ukimtaja crush wako☺️,mtaje basi nimshuhudie huyo dada mwenye bahati yake hapa duniani.
Nipo katikati ya nimtaje au nisimtaje! Ni mtaa wa ajabu ni mtaa usiyo na jina.

Ni kama upepo huwezi kuuona ila unauhisi. Atakayehisi juu yangu hajakosea! Nami ndivyo ninavyohisi juu yake.
 
Back
Top Bottom