Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

eti vi hipsi vya kuombea lift mjini, hivi ukiwa huna hips huwezi omba lift eeh au ukiomba hupewi jaman
Inategemeana na gari unayoomba lift ,kuna gari unaomba lift kutokana na wewe ulivyo umbika. Nadhani ndo maana ake.
 
Mm kuna kademu nakapenda humu jf....
kana avatar flan hv kameegesha kijambio chake...alafu nahisi lile tako lake ni pic og kabisa!
Ila kenyewe kanajifanya hakanielewi elewi!!
kananionaga mm ni second citizen!!?
ngoja nikakasake nikalete hapa
 
Inategemeana na gari unayoomba lift ,kuna gari unaomba lift kutokana na wewe ulivyo umbika. Nadhani ndo maana ake.
Hahahahaha mimi naombaga zote tu hata zile za milion 300 looh msikatishe watu tamaa huku jaman

Lift inaombwa tu jaman kwa gari lolote...ila JF ibarikiwe milele maana huwezi pita bila kufurahi kidogo
 
hahahahaha mimi naombaga zote tu hata zile za milion 300 looh msikatishe watu tamaa huku jaman

lift inaombwa tu jaman kwa gari lolote...ila JF ibarikiwe milele maana huwezi pita bila kufurahi kidogo
Umesema vizuri lakini kubaliana kuwa kuna watu wanajishtukia wakiona vitu vya hadhi wanavyodhani sio kiwango chao huwa sana hofu!!
 
Umesema vizuri lakini kubaliana kuwa kuna watu wanajishtukia wakiona vitu vya hadhi wanavyodhani sio kiwango chao huwa sana hofu!!
Yap wapo ila mimi ni wa tofauti kidogo, najiamin na najikubali tu jinsi nilivyo

Sitaki kujiona kuwa Mungu alikosea,, najua fika alimaliza kazi yake na machoni mwake akaona ilimpendeza

You said well mkuu wapo hawa watu
 
yap wapo ila mimi ni wa tofauti kidogo, najiamin na najikubali tu jinsi nilivyo

sitaki kujiona kuwa Mungu alikosea,, najua fika alimaliza kazi yake na machoni mwake akaona ilimpendeza

you said well mkuu wapo hawa watu
Kabisa, shida inakuja unajikubali na ukiomba unapewa ila mwisho wa siku unaomba gari ya 300ml kama ulivosema halafu ukanyimwa na ulizoea kupewa daily na hizi za 12ml unarudia tena MKUU?? Si utaona zile sio size yako !!

NB: inategemeana na mwenye gari ila sio gari, maana gari haikatai mtu ila mwenye gari anaweza kumkataa mtu apande gari yake sometimes hata akiwa mzazi wake!

Muwe na amani wadada wote ombeni lift bila kukata tamaa hata mnyimwe Mara 100, jokes lakini.
 
Halafu ukiona unaanza kunyimwa ujue ndo milango yako ya kununua yako inakaribia.

Always see every situation as an opportunity.
 
Uchebe ni ndevu flan zinazoachwa hapa kwenye kidevu kwa mbele. Na Sio kama zile la wale jamaa wa al-Qaeda, hapana!! zenyewe huwa zinatunzwa kimkakati.

Mkuu Part 2 yake ni majanga marefu ila nilikuja kumtafuna kivingine kabisa. Yani nilianza upyaaaaa.
Ok sasa wewe mkuu na hivo vindevu vyako ulianzaje kumgusisha mdada wa watu jamani, ulimuonaje yani kwamba anagusika ama? Maana unaweza pigwa vipepsi bure😬
 
Ok sasa wewe mkuu na hivo vindevu vyako ulianzaje kumgusisha mdada wa watu jamani, ulimuonaje yani kwamba anagusika ama? Maana unaweza pigwa vipepsi bure[emoji51]
Hapo kwenye nilianzaje ndio iko very practical, nauhakika hata kama ni wewe lazima ungekaa tuu [emoji3][emoji3]. Sometimez shetani huwa anatupaga support kwenye maswala ya dhambi.
 
Uchebe ni ndevu flan zinazoachwa hapa kwenye kidevu kwa mbele. Na Sio kama zile la wale jamaa wa al-Qaeda, hapana!! zenyewe huwa zinatunzwa kimkakati.

Mkuu Part 2 yake ni majanga marefu ila nilikuja kumtafuna kivingine kabisa. Yani nilianza upyaaaaa.

Huwa zinatunzwa kwa mkakati gani aisee?
 
Uchebe ni ndevu flan zinazoachwa hapa kwenye kidevu kwa mbele. Na Sio kama zile la wale jamaa wa al-Qaeda, hapana!! zenyewe huwa zinatunzwa kimkakati.

Mkuu Part 2 yake ni majanga marefu ila nilikuja kumtafuna kivingine kabisa. Yani nilianza upyaaaaa.
Wahuni sio watu asee, yaani mpaka meshabatiza ndevu kwa jina la uchebe kisa nae alikua na zile ndevu za mbele[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom