Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Wakuu,

Kuna binti mmoja wa TikTok, ni mzuri sana.

Yani nikikutana na video au picture yake hisia zinanipanda hadi utosini.

Ni yule binti ambaye mwili wake ni kama nywila ya kufuli zangu za hisia

Imebidi hadi ni uninstall TikTok kwa ajili yake
uzi bila picha haujakamilika, Tungekusaidia mdogo wetu usije ukawehuka😁
 
Wakuu,

Kuna binti mmoja wa TikTok, ni mzuri sana.

Yani nikikutana na video au picture yake hisia zinanipanda hadi utosini.

Ni yule binti ambaye mwili wake ni kama nywila ya kufuli zangu za hisia

Imebidi hadi ni uninstall TikTok kwa ajili yake
TikTok ni ya mademu. Wewe umefuata nin huko? ndiyo tatizo limeanzia hapo
 
Back
Top Bottom