TikTok ni ya mademu. Wewe umefuata nin huko? ndiyo tatizo limeanzia hapo
Nonsense, hiyo mindset mnayo wabongo zaid.
Aliyewaaminisha Ticktock mtandao wa madem ni nan?
Yaan kitu hukijui lkn unakitolea maoni.
Nikueleze kiufupi tu, tictock ni mtandao wa kijamii kama ilivyo wasap, insta, lkn huko kumebase zaidi ktk jumbe za video na sio maandishi, pia huko unapewa kile unachokitaka, kulingana na uliyemfollow.
Tatu kule ndiko kuna uhuru wa hali ya juu wa habari na maoni ndiomaana Taifa la USA lilitaka kuupiga Bann mtandao huo maana unavujisha taarifa zao pia uko wazi sana hauna ile ficha ficha na kuwazuia watu kupata habar pia kutoa maoni kwa baadhi ya mambo ambayo wanasiasa hawataki raia wayapinge.
Huko ndiko kuna uhuru wakupata habari ambazo hutowai zipata mahala popote maana zimefukiwa na kuna baadhi ya media huzificha kwa maslahi yao, pia huko huko ndiko liliko chimbo la baadhi ya wasanii kujiinua na kujitangaza, pia huko ndiko burudani ya kweli inapatikana ,
Sasa watu wataachaje kuitumia?, wabongo wengi ni Vilaza hampendi kuchunguza mambo mnaamini fasta ktk ujinga, wadada wengi kwakuwa ni vilaza basi wanautumia huo mtandao kwa kufanyia ukilaza wao na ninyi wachache mmeamini huko kuna ukilaza?
Njoo nikupe link za mambo ukajifunze ambayo najua huyajui na bila huko hutowai yajua kamwe[emoji16].
There's free right to talk there, free mind,