Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
Hivi mwanaume mzima mwenye majukumu unapataje muda wa Tik tok, isitoshe DP world wameshikilia bandari zote afu mpuuzi utosi wako unauumiza kwa mtoto anaekiuza mtandaoniWakuu,
Kuna binti mmoja wa TikTok, ni mzuri sana.
Yani nikikutana na video au picture yake hisia zinanipanda hadi utosini.
Ni yule binti ambaye mwili wake ni kama nywila ya kufuli zangu za hisia
Imebidi hadi ni uninstall TikTok kwa ajili yake
Chief apa utapigwa we endelea kushobokaView attachment 2686235
View attachment 2686236
NI HATARI🙌🙌🙌
Huu ndo ulimwengu wa social media, hakuna namna.
Na?Chief apa utapigwa we endelea kushoboka
Kitu kizito we ukali kama uo famasiala nini mwendo wa manati ya mzungu tu😆
Nonsense, hiyo mindset mnayo wabongo zaid.TikTok ni ya mademu. Wewe umefuata nin huko? ndiyo tatizo limeanzia hapo
Nonsense, hiyo mindset mnayo wabongo zaid.Kumbe kuna wanaume na ndevu zao nao wapo huko sijui TikTok?
Ticktock ni zaid ya JF mara100 kule kuna habari za kila aina itategemea wew umemfollow nan, kule si sawa na huku eti ukigusia baadhi ya mambo sababu watu fulan hawapendi uyazungumzie basi wanakulamba bann, kule hata hiyo DP world imeelezewa vzr na wasomi maana kule hakuna upuuzi wa kuzuiwa kutoa maoni yanayokinzana na wanasiasa wapuuzi.Hivi mwanaume mzima mwenye majukumu unapataje muda wa Tik tok, isitoshe DP world wameshikilia bandari zote afu mpuuzi utosi wako unauumiza kwa mtoto anaekiuza mtandaoni
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
1. Nipe link ambayo nitajifunza kutengeneza websiteNonsense, hiyo mindset mnayo wabongo zaid.
Aliyewaaminisha Ticktock mtandao wa madem ni nan?
Yaan kitu hukijui lkn unakitolea maoni.
Nikueleze kiufupi tu, tictock ni mtandao wa kijamii kama ilivyo wasap, insta, lkn huko kumebase zaidi ktk jumbe za video na sio maandishi, pia huko unapewa kile unachokitaka, kulingana na uliyemfollow.
Tatu kule ndiko kuna uhuru wa hali ya juu wa habari na maoni ndiomaana Taifa la USA lilitaka kuupiga Bann mtandao huo maana unavujisha taarifa zao pia uko wazi sana hauna ile ficha ficha na kuwazuia watu kupata habar pia kutoa maoni kwa baadhi ya mambo ambayo wanasiasa hawataki raia wayapinge.
Huko ndiko kuna uhuru wakupata habari ambazo hutowai zipata mahala popote maana zimefukiwa na kuna baadhi ya media huzificha kwa maslahi yao, pia huko huko ndiko liliko chimbo la baadhi ya wasanii kujiinua na kujitangaza, pia huko ndiko burudani ya kweli inapatikana ,
Sasa watu wataachaje kuitumia?, wabongo wengi ni Vilaza hampendi kuchunguza mambo mnaamini fasta ktk ujinga, wadada wengi kwakuwa ni vilaza basi wanautumia huo mtandao kwa kufanyia ukilaza wao na ninyi wachache mmeamini huko kuna ukilaza?
Njoo nikupe link za mambo ukajifunze ambayo najua huyajui na bila huko hutowai yajua kamwe[emoji16].
There's free right to talk there, free mind,
Mpaka sasa haujanipa jibu. Umedhihirisha kuwa TikTok ni mtandao wa mademu na watu ambao hawana kazi za kufanya mitandaoni. Nilipakua TikTok, video nilizokutana nazo, ilibidi nifute muda huo huo. Kama hauna mambo ya kufanya, Tiktok ni nzuri sanaNonsense, hiyo mindset mnayo wabongo zaid.
Aliyewaaminisha Ticktock mtandao wa madem ni nan?
Yaan kitu hukijui lkn unakitolea maoni.
Nikueleze kiufupi tu, tictock ni mtandao wa kijamii kama ilivyo wasap, insta, lkn huko kumebase zaidi ktk jumbe za video na sio maandishi, pia huko unapewa kile unachokitaka, kulingana na uliyemfollow.
Tatu kule ndiko kuna uhuru wa hali ya juu wa habari na maoni ndiomaana Taifa la USA lilitaka kuupiga Bann mtandao huo maana unavujisha taarifa zao pia uko wazi sana hauna ile ficha ficha na kuwazuia watu kupata habar pia kutoa maoni kwa baadhi ya mambo ambayo wanasiasa hawataki raia wayapinge.
Huko ndiko kuna uhuru wakupata habari ambazo hutowai zipata mahala popote maana zimefukiwa na kuna baadhi ya media huzificha kwa maslahi yao, pia huko huko ndiko liliko chimbo la baadhi ya wasanii kujiinua na kujitangaza, pia huko ndiko burudani ya kweli inapatikana ,
Sasa watu wataachaje kuitumia?, wabongo wengi ni Vilaza hampendi kuchunguza mambo mnaamini fasta ktk ujinga, wadada wengi kwakuwa ni vilaza basi wanautumia huo mtandao kwa kufanyia ukilaza wao na ninyi wachache mmeamini huko kuna ukilaza?
Njoo nikupe link za mambo ukajifunze ambayo najua huyajui na bila huko hutowai yajua kamwe[emoji16].
There's free right to talk there, free mind,
Umemaliza au unaendelea?Nonsense, hiyo mindset mnayo wabongo zaid.

Pakunyea anapo mashallah sema sura hanaNikiwekaga picha mods wanamind, mcheki anaitwa Lethie
Vipi hali yake ya HIV/aidsNikiwekaga picha mods wanamind, mcheki anaitwa Lethie
[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna watu tunapendwa tukiwa hatujulikani. Tukionwa tu baasi.