Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?


Awe mkweli tu kwamba hana bando la kuingia huko manake tiktok sio kama whatsap ambayo MB 200 unaweza kushinda online siku nzima
 
Itoshe kusema mapenzi ni ugonjwa wa akili.
 
Ubaya ni pale unapomcrush mtu kumbe ni mzee😹
Kuna umri ukifika inabidi uwaachie vijana. Wewe mzee upo facebook, Tiktok, Jamii forum n.k tena unabishana na vijana kwenye mada ambazo hazina maana lazima utakanwe. Mzee naye anachangia kwenye kula tunda kimasihara lazima utukanwe tu
Ukishakuwa mzee hata muziki unabadilsha, siyo unasikiliza muziki wa singeli, mbuzi kagoma, unaangalia movie wanabusiana, zile za kitoto n.k haifai.
Unatakiwa usome habari za kukujenga zile habari maalumu kwa mfano suala la DP, unafuatilia watu wanasema nini, masuala ya dini n.k
 
Kwahyo mimi ni mzee au sijakuelewa?
 
Kwa kuonesha hivi bado TikTok haijafikia hadhi ya YouTube. Nikiingia Youtube, nikiandika kichwa cha habari, naletewa video nyingi sana ambazo nachagua ninayotaka tena kutoka kwa watu tofauti tofauti.
Kwenye TikTok, unaweza kupata videos za kujifunza coding na programming, ingawa si kama vile unavyoweza kupata kwenye YouTube ambapo ni jukwaa lenye mkusanyiko mkubwa. TikTok ni zaidi ya jukwaa la burudani watu wanaweka video fupi zenye maudhui mbalimbali.

Hata hivyo, kuna watumiaji wa TikTok ambao hujitolea kuweka video za kujifunza, kama coding na programming. Wanaweza kuonyesha vidokezo, mifano ya namna ya kuandika program, nk. Unaweza kutafuta kwa maneno kama "coding," "programming," au "tech tutorials" kwenye TikTok ili kuzipata, sijamaanisha kwwamba ni huyo m1 tu.

TikTok sio jukwaa maalum kwa mafunzo ya kina na marefu kama YouTube. YouTube bado itabaki kuwa bora zaidi. Kwenye YouTube, unaweza kupata video ndefu kwenye mada husika.

Ingawa TikTok inaweza kuwa chanzo cha maelezo mafupi na vidokezo kuhusu coding na programming, ni vizuri kutumia vyanzo vingine kama vile YouTube, social media platforms, vitabu, na mafunzo ya kina ili kujifunza vizuri na kupata uelewa wa kina zaidi katika uwanja huo. Na kama you are obsessed na TikTok, kuna watu creative ambao ni programmers wanaweza kukuispire kwa wanayoweza yafanya for fun, ama maisha yao.

Sio kila muda unatakiwa kuwanga serious tu😉, sometimes refresh. Hata hapa Jf kila mtu ni follower wa Jukwaa analolitaka, unapotaka kila mahali pafanane ndo hapo kwa nini wewe upo Jf, jf unaweza jifunza vitu ulivyovisema? Kwa nini haupo Reddit, Stack Exchange, Quora, GitHub, Dev.to, nk ambazo ni forums zenye deep knowledge.

Kawaida yangu huwa sijifunzi kutoka kwa mtu mmoja
Unaweza badili hili from personwise to sourcewise na kupata taste kubwa zaodi. At the end sio kila anachopenda mwingine, na wewe ukipende.
 
Aisee! Kuna dada alikuwa anaitwa Miss Chaga sjui yuko wapi? Sjui anafananaje lkn mpaka leo namuwaza....popote ulipo jua Nakupenda na Mungu akutunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…