Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Itakuwa unaowengi loh[emoji2957][emoji2957]
Tobaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najiuliza ni yupi huyo ila sipati majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Kama nishawahi bebishana naye jukwaani ajue siyo yeye.
Sijawahi mtaja popote aisee..labda aje ajiseme hapa,nampa ruhusa kabisa.
 
Tobaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najiuliza ni yupi huyo ila sipati majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Kama nishawahi bebishana naye jukwaani ajue siyo yeye.
Sijawahi mtaja popote aisee..labda aje ajiseme hapa,nampa ruhusa kabisa.
😁😁kwahiyo mtakatifu unataka kusema kuwa hata Jack wala Liza...hawahusiki sio..hata na yule crush mpya wa kule kilingeni pia hahusiki 😄😃😃so sad kwakweli 🤣🤣🤣
 
Halafu sikukupa like sasa kwa mhusika.

My neighbor where are you njiwa 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
Umemficha Mpaka nimemjua nimemjua 😂😂😂
😁😁kwahiyo mtakatifu unataka kusema kuwa hata Jack wala Liza...hawahusiki sio..hata na yule crush mpya wa kule kilingeni pia hahusiki 😄😃😃so sad kwakweli 🤣🤣🤣
 
[emoji16][emoji16]kwahiyo mtakatifu unataka kusema kuwa hata Jack wala Liza...hawahusiki sio..hata na yule crush mpya wa kule kilingeni pia hahusiki [emoji1][emoji2][emoji2]so sad kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu bloangu.
Yule crush mpya si umeona wala hajanitaja[emoji23]
Jack mchumba wangu nisije haribu mwishowe nikamkosa hivihivi.




Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Acha basi kukuangusha taifa mtakatifu...kaza we nae loh..

Yani umuachie mtu muchumba wako wa miaka mingi[emoji2][emoji2]acha hizo funga kibwebwe hukooo..

Basi nilijua huyo huyo Liza...Ehee huyo huyo[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Natamani nimlete crush wangu ashuhudie jinsi nilivyojitosa .

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nimewasiliana na wanachama wengi humu ndani (ME + KE), lakini mbali na kuleteana masikhara na kudanganyana kule PM sijawahi kabisa kutaka kufahamiana na mtu humu ndani. Naamini kuna waliokuwa na nia njema na wako Genuine, lakini waovu, wauaji, watekaji, mamluki na matapeli wako wengi sana mitandaoni. Hivyo wale watu wema wanisamehe tu.........

Nashauri vijana, hata kama umependa na kuvutiwa na mwandiko wa mtu, fahamu kwamba huku kwenye mitandao kila mtu huonekana ni malaika japo uhalisia hauko hivyo. Nawafahamu watu ambao wameshaumizwa na kuvurugwa kisa haya mawasiliano ya humu JF, Twitter na Instagram. Binafsi nimewahi kutumiwa links za mitego na E-Mails nyingi huko PM.

Wengine wanaanzia mbali kwa kujenga urafiki mimi nawachora tu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii. Huko PM nimepewa ofa kubwa za kufa mtu, wengine wanasema wananipenda sana (wanajaribu kunijaza Sweet-Nothing) , wengine wananiletea vitisho,wengine wanataka ushauri, wengine wananiletea umbeya na majungu, wengine wanakuja kunimwagia misifa. Sasa kama ukiwa na kichwa kibovu itakula kwako. There's No Free Lunch in the World: You Eat the Devil's Food, You Pay the Devil's Bill....

Ila kama umempenda mtu wewe jilipue at your own risk, lakini kaa ukikumbuka kwamba waliomo humu ndiyo haohao wa mtaani kwako. Tanzania ya leo imejaa watu waovu wengi mno, tumefika pabaya sana, kuwa makini (Be vigilant and don't have unrealistic expectations).....

Una nakosea ndugu Mgonga Like ???
Jamani Malcom mi nakupenda mwenzio
 
Back
Top Bottom