Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Mimi Never...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu km Eclat , Noelia nk hawa nadhani wana ishi Mbezi Beach kabisaaa! niliwaona na huyu Eclat ni mtu mzima kidogo anashukiaga Makonde pale, niliona avatar yangu kwenye simu yake siku moja tukiwa kwa daladala, alikuwa ana respond message yangu, lkn yeye hakujua kuwa nimemjua.
😊😊🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂Much appreciated ladies...
Hope sijachelewa...maana salam za majuzi nazipata leo...[emoji854][emoji6]Au unataka nmtaje@Rowin
Hope sijachelewa...maana salam za majuzi nazipata leo...[emoji854][emoji6]
kelphin kepph thank you for being the reason I [emoji4][emoji4][emoji4]...[emoji1431]
Umenikumbusha mbali sana enzi hizo nilimpendaga member mmoja wa JF maarufu enzi hizo kwa jina la rubii
ukweli sikuwahi kumfahamu kwa sura ila taratibu nilijikuta nampenda mpaka kutamani kumwoa nilimsumbua sana inbox mpaka ikafika wakati nikaanzisha uzi kwa ajili yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema alinichomolea nje sababu kubwa ni baada ya kujua mimi nauzaga majeneza hii kitu ilimfanya anikatae lakini sio mbaya baadae nilifanikiwa kumfahamu kupitia picha kwa msaada wa member mmoja wa kike ambaye alikuwa anafahamiana naye japo aliniomba ibaki kuwa siri ila ndo nilifanikiwa kuona picha halisi za mdada na kufahamu maisha yake halisi nje ya JF kifupi alikuwa ni mdada flani mstaarabu na anajielewa.
Thank you mkuu, ila mbona ukachelewa kutokea despite all the Tags 😒, how are you lkn!Kweli? Ungejua ninavyokukubali...
Nilikuwa offline,mapumzikoni. Niko salama,asante.Thank you mkuu, ila mbona ukachelewa kutokea despite all the Tags 😒, how are you lkn!
Ok Karibu tena mkuu! Umejiskiaje kukuta tags zote hizo from wadada humu?Nilikuwa offline,mapumzikoni. Niko salama,asante.
Nimefurahi sana kufahamu kuwa tunapendana ingawa hatufahamiani kwa sura.Ok Karibu tena mkuu! Umejiskiaje kukuta tags zote hizo from wadada humu?
Funguka mkuu! Maisha yenyewe mafupi hayahata jina namtaja!
Ok! Haya mkuu uwe na alasiri njemaNimefurahi sana kufahamu kuwa tunapendana ingawa hatufahamiani kwa sura.
Unajua nn inasaundi good lakin...Habari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Acha tuFunguka mkuu! Maisha yenyewe mafupi haya