the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa.
Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo walichowekeana.
Nadhani ingefika mahali sasa hili jambo kwa wanafamilia litazamwe upya mana linaweza kupelekea mtu kumkosa mtu ambaye alimuona sahihikwa upande wake kisa dini.