the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Kwa hiyo sini yako ama yake ni nini?,kila mtu ashike 50 zake,kafungeni ndoa kwa dc over,muhangaike na dini ni baba zenyu?Mimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.
Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management
Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.
Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima
Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially
Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.
Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Dini tofauti za wazazi zinachanganya watoto unless kama baba/mama ni "mzungu wa roho" atawaacha watoto wote waende kwa mama/baba yao kisha yeye anakomaa tu na dini yake au haendi kanisani mazima kama mimi..Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa.
Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo walichowekeana.
Nadhani ingefika mahali sasa hili jambo kwa wanafamilia litazamwe upya mana linaweza kupelekea mtu kumkosa mtu ambaye alimuona sahihikwa upande wake kisa dini.
Acha kutia chumvi kwenye kidonda kibichi ujue inaumaNi kisingizio hicho hakukupenda.
We muache huyo, nenda katafute muislam mwenzio ambae hana kigezo chochote kati ya hivyo, wala humpendi ila MUOE kwasababu ni muislam mwenzio.Mimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.
Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management
Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.
Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima
Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially
Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.
Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Hata mimi nisipompenda mtu ndo zangu hizo 😅Dini, kabila na mengineyo. Nayaleta pamojaAcha kutia chumvi kwenye kidonda kibichi ujue inauma
Sema kukataliwa direct inauma zaidi lakini inasave timeHata mimi nisipompenda mtu ndo zangu hizo Dini, kabila na mengineyo. Nayaleta pamoja
VSHata mimi nisipompenda mtu ndo zangu hizo
Mbona mimi n mroma ila ulinikataa kisa tupo jumuiya tofauti😁Wengine tulishajua wazazi wetu ni watu wa dini sana,. Ndio maana mie kitu cha kwanza huwa nauliza kabisa kama sio mroma mapema kila mtu apite njia yake,.
Baraka za wazazi muhimu sana aisee🙌🙌
Vpi ukiwa na hela sabuni ya roho. Vigezo havilegezwiHata mimi nisipompenda mtu ndo zangu hizo 😅Dini, kabila na mengineyo. Nayaleta pamoja
Hahaha😄😂Mbona mimi n mroma ila ulinikataa kisa tupo jumuiya tofauti😁
Y visilegezwe sasa 😅😅😅Vpi ukiwa na hela sabuni ya roho. Vigezo havilegezwi