Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kila nikianza ya kwako naona Kama mwanzo wa episode ya kwanza [emoji6] [emoji6]Hivi zile ndoto za series sasa hivi zimefika season ya ngapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Hee makubwa!!!!
Kumbe kuna mwingine?
Kunasiku nilishawahi kumuona yupo na huyo mwanamke nikapunguza jazba na kumuuliza baby yule ni nani mliokuwa mkiongozana huku mmeshikana mikono? (kwenye comments zao) akajibu ni mdada tuu wanapenda kutaniana.
Joseverest embu njoo unieleweshe juu ya hii tuhuma [emoji57],hata mimi nina moyo ujue usinitanie tafadhali [emoji41]
kapeace
Chochote unachoniota, may your dream come true.Mimi Huwa nawaota member wenye avator za kike....Kama we we bbade,Evelyn salt,Sakayo,Mzigua 90,Love b,sijawahi kumuota Sky eclat kwakuwa najua wazi ana MTU wake Asprin!
[emoji23][emoji23][emoji23]chizi wewe ujueKila nikianza ya kwako naona Kama mwanzo wa episode ya kwanza [emoji6] [emoji6]
Acha kumpa moyo kashaibiwa huyoPunguza jaziba hunter anakujali Sana jirani kipenzi
Hahahaa ndo ujue kwanzia sasa unae mwenzaHee makubwa!!!!
Kumbe kuna mwingine?
Kunasiku nilishawahi kumuona yupo na huyo mwanamke nikapunguza jazba na kumuuliza baby yule ni nani mliokuwa mkiongozana huku mmeshikana mikono? (kwenye comments zao) akajibu ni mdada tuu wanapenda kutaniana.
Joseverest embu njoo unieleweshe juu ya hii tuhuma [emoji57],hata mimi nina moyo ujue usinitanie tafadhali [emoji41]
Sema kweli mkuu kwahiyo uliota avatar yanguNilimuota shunie
[emoji3][emoji3] yaan wewe siku hizi unavuta cha wapiUmuote mtu hujawi hata kumuona, labda uote avatar
Nilikuwa Nimelala Aisee nimeamka Ghafla....kiukweli nimefurahi Kupita maelezo,kupita hata Utakavyoweza Kufikiri...Chochote unachoniota, may your dream come true.
Hahaha kwanini?[emoji3][emoji3] yaan wewe siku hizi unavuta cha wapi
Ahahha unajua mwenyewe na mambo zakoHahaha kwanini?
Mchumba wangu ambaye ni mama Yako mzazi akiona Comment hii atakasirika sana Kwani nimekua msaada kwake taangu baba aanze Kugonga kimoja na Kulala mazima.Aisee mimi niliota nakipiga pumbu kumbe wewe kidume[emoji15] [emoji15]
Na Unajuwa ninachokuwazaga usiku!Nilikuwa Nimelala Aisee nimeamka Ghafla....kiukweli nimefurahi Kupita maelezo,kupita hata Utakavyoweza Kufikiri...
Ndo maana Huwa Nina Ku Appreciate in all angle....
Am Speechless Aisee....
Leo nitalala vema sana!
Like like..
Asanteh jirani yanguPunguza jaziba hunter anakujali Sana jirani kipenzi
Mbona mnanichanganya jamaniAcha kumpa moyo kashaibiwa huyo
Ulishawahi kumuota Member wa JF kwa Namna yeyote ile na Hupendi Ajue?
Na Bado unatamani Asijue!