Ulishawahi kumuota member wa JF?

Ulishawahi kumuota member wa JF?

Punguza jaziba hunter anakujali Sana jirani kipenzi
Hee makubwa!!!!
Kumbe kuna mwingine?
Kunasiku nilishawahi kumuona yupo na huyo mwanamke nikapunguza jazba na kumuuliza baby yule ni nani mliokuwa mkiongozana huku mmeshikana mikono? (kwenye comments zao) akajibu ni mdada tuu wanapenda kutaniana.

Joseverest embu njoo unieleweshe juu ya hii tuhuma [emoji57],hata mimi nina moyo ujue usinitanie tafadhali [emoji41]
 
Smart911 kaja kunichukua home kunitoa out tena tulikua morogoro eti nyumbani kwetu.

Siku nyingine nikaota kabisaaa Yani kabisaaaaa Smart911 huyohuyo

Mara nyingi sana namuota smart wangu..then weekend naenda kumuhadithia ndoto vizuri sasa anacheeeeeeekaa eti seems ulinimiss [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hee makubwa!!!!
Kumbe kuna mwingine?
Kunasiku nilishawahi kumuona yupo na huyo mwanamke nikapunguza jazba na kumuuliza baby yule ni nani mliokuwa mkiongozana huku mmeshikana mikono? (kwenye comments zao) akajibu ni mdada tuu wanapenda kutaniana.

Joseverest embu njoo unieleweshe juu ya hii tuhuma [emoji57],hata mimi nina moyo ujue usinitanie tafadhali [emoji41]
Hahahaa ndo ujue kwanzia sasa unae mwenza
 
Chochote unachoniota, may your dream come true.
Nilikuwa Nimelala Aisee nimeamka Ghafla....kiukweli nimefurahi Kupita maelezo,kupita hata Utakavyoweza Kufikiri...
Ndo maana Huwa Nina Ku Appreciate in all angle....
Am Speechless Aisee....
Leo nitalala vema sana!
Like like..
 
Aisee mimi niliota nakipiga pumbu kumbe wewe kidume[emoji15] [emoji15]
Mchumba wangu ambaye ni mama Yako mzazi akiona Comment hii atakasirika sana Kwani nimekua msaada kwake taangu baba aanze Kugonga kimoja na Kulala mazima.
 
Nilikuwa Nimelala Aisee nimeamka Ghafla....kiukweli nimefurahi Kupita maelezo,kupita hata Utakavyoweza Kufikiri...
Ndo maana Huwa Nina Ku Appreciate in all angle....
Am Speechless Aisee....
Leo nitalala vema sana!
Like like..
Na Unajuwa ninachokuwazaga usiku!
May this comes true!
 
Ulishawahi kumuota Member wa JF kwa Namna yeyote ile na Hupendi Ajue?
Na Bado unatamani Asijue!

Mimi niliwahi tu Kumuota mmoja nikiwa nae madhabahuni namuoa ila niliposhtuka usingizini nikajikuta nimelala katika Korido la njia panda ya kuendea Chooni / Msalani.
 
Back
Top Bottom