Ulishawahi kumuota member wa JF?

Mimi niliwahi tu Kumuota mmoja nikiwa nae madhabahuni namuoa ila niliposhtuka usingizini nikajikuta nimelala katika Korido la njia panda ya kuendea Chooni / Msalani.
Mkuu Hivi sasa ni Visa,warembo wengi humu Jf hujawahi hata kumuota mmoja,Hata kumuota Umempa like tuu!
 
Baby ina maana huniamini, unasikiliza maneno ya nje?? Daah hao hawapendi kuona mi nawe tuko pamoja achana nao

Mimi nakupenda wewe tu amini hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…