Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Vipo vya kushea lakini sio mapenzi,Hahahaa ndo ujue kwanzia unae mwenza
Hunter anajifanya haoni notification kuja kujibu tuhuma [emoji57][emoji57],
Ngoja ninywe maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo vya kushea lakini sio mapenzi,Hahahaa ndo ujue kwanzia unae mwenza
Hana bando mtumie bas bby wakoVipo vya kushea lakini sio mapenzi,
Hunter anajifanya haoni notification kuja kujibu tuhuma [emoji57][emoji57],
Ngoja ninywe maji
Nimtumie bandle awasiliane na yule dada si ndio eeh,Hana bando mtumie bas bby wako
Mkuu Hivi sasa ni Visa,warembo wengi humu Jf hujawahi hata kumuota mmoja,Hata kumuota Umempa like tuu!Mimi niliwahi tu Kumuota mmoja nikiwa nae madhabahuni namuoa ila niliposhtuka usingizini nikajikuta nimelala katika Korido la njia panda ya kuendea Chooni / Msalani.
Kwendraaaaaaaaa mbona hukusema?Nilikuota tarehe 7 mwezi wa 1
Huyu mpenda mavyura hana lolote,Behaviourist nahisi Aliwahi Kukuota Mara moja nahisi!
baby shem naweeHahhahaha sasa anao wangapi au mnashare na khantwe??me shem wangu tu huyo shogaa usipate tabu
Pimbi wapi wew na wakati ni shem etu?
Baby shem ntafanyaje sasa ndo mkeo amenkabababy shem nawee
Baby ina maana huniamini, unasikiliza maneno ya nje?? Daah hao hawapendi kuona mi nawe tuko pamoja achana naoHee makubwa!!!!
Kumbe kuna mwingine?
Kunasiku nilishawahi kumuona yupo na huyo mwanamke nikapunguza jazba na kumuuliza baby yule ni nani mliokuwa mkiongozana huku mmeshikana mikono? (kwenye comments zao) akajibu ni mdada tuu wanapenda kutaniana.
Joseverest embu njoo unieleweshe juu ya hii tuhuma [emoji57],hata mimi nina moyo ujue usinitanie tafadhali [emoji41]
Hivi nyie mababy shem haya maneno mnayatolea wapi?? Acheni uchochezi aisee [emoji19][emoji19][emoji19][emoji34][emoji34][emoji34][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]Acha kumpa moyo kashaibiwa huyo
Hahahaa ndo ujue kwanzia sasa unae mwenza
hahahahahahahahaha
Hunter hebu muelezeePunguza jaziba hunter anakujali Sana jirani kipenzi
mpambe nuksi huyo...af wewe carba[emoji19] [emoji19] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15]Mbona mnanichanganya jamani
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nimekuja my loveVipo vya kushea lakini sio mapenzi,
Hunter anajifanya haoni notification kuja kujibu tuhuma [emoji57][emoji57],
Ngoja ninywe maji
DaaaahNimtumie bandle awasiliane na yule dada si ndio eeh,
Ataweka tuu bando mwenyewe hakuna namna,
Hicho kicheko imebid na mm nicheke tu ungekua karibu ndo ingekua vichekohahahahahahahahaha
AiseeehHicho kicheko imebid na mm nicheke tu ungekua karibu ndo ingekua vicheko