Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
mmmh baby shem wewe...mara ya pili hii unaota?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh baby shem wewe...mara ya pili hii unaota?
Hahaha Mkuu umenifurahisha sana sana Eti Evelyn salt na Hornet!Niliota nawapiga Pumbu akina Hornet na Evelyn Salt sitasahau aisee
Hahaaa. Shoga we bado?Mmh....
hahaaa haya maneno na hiyo avatar yko mule mule hujakosea kituNiliota nawapiga Pumbu akina Hornet na Evelyn Salt sitasahau aisee
kumbe wewe Tayari ..sasa mbona hujamtaja !!?Hahaaa. Shoga we bado?
Hahaaa. Ujue umenifanya nimecheka kwa sauti. Lolkumbe wewe Tayari ..sasa mbona hujamtaja !!?
teheee yaani swali lako ulilo muuliza mwenzio ..linaonyesha kama vile wamshangaa mpka leo kutokuwa bado hajamuota mtu ..kitu ambacho wewe huwa kinakutokea Mara kwa Mara ..Hahaaa. Ujue umenifanya nimecheka kwa sauti. Lol
Wapi nimesema lakini Kaka? [emoji12] [emoji12]
Hahaaa. Nimemuuliza vile kwa sababu ya mleta uzi maana mpaka kaleta uzi wake ni dhahiri kwamba yeye tayari.teheee yaani swali lako ulilo muuliza mwenzio ..linaonyesha kama vile wamshangaa mpka leo kutokuwa bado hajamuota mtu ..kitu ambacho wewe huwa kinakutokea Mara kwa Mara ..
yaani lile swali lako bwana lina majibu ya huu uzi kuhusu wewe ijapokuwa wafcha Dada yangu..hahaa
Uje unielezee ulimuotaje baby wangu [emoji41]
Naona unazidi kunichanganya, embu muite aje kunielezea kwa umakini ndoto yakeAlimuota Kama Mwanamke na Jamaa kama Mwanamume...
aiseee unajua kuchakata maneno ..kwahiyo ulikuwa unamuwakilisha mleta uzi ..hahaaaHahaaa. Nimemuuliza vile kwa sababu ya mleta uzi maana mpaka kaleta uzi wake ni dhahiri kwamba yeye tayari.