Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Ishanitokea tena this aprl,demu kaja geto stor za hapa na pale tukajikuta tupo kwny mahaba ya pesa yotee,mtt nimemnawa vya kutosha hadi anaanguka kama gogo,ila nikimpeleka kitandan anaenda na mzgo hatoi,nliamua kutumia tu democracy na kumuacha aende,imetokea ivo zaid ya mara mbili,ile ya tatu nikajarbu tumia force demu kaondoka kwa hasira....àaah!nikaona ni ujinga ko nikaamua tu kumpotezea,kilichonikwamisha ni baada ya hizo cku kuzamisha dem mwngine ndan ambaye n rafiki yangu tu..ila niliwakuta wapo nje wote kwan wako mapacha na tumepanga sehem moja,kile kitendo kilimkasirisha akawa hata salam hatoi na mm nikajikausha ivo ivo
 
Usisahau WANAOJIUZA TUNAISHI NAO kitaa.

#YNWA
 
Tulisumbuana gheto kwake, akanaimbia nivae kondom, ukicheki sikua nayo. Nje kina duka, nikamwambia acha nikanunie, kurudi nakuta mlango umefungwa na taa imezimwaa.... [emoji3]
Daah pole sanaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tulisumbuana gheto kwake, akanaimbia nivae kondom, ukicheki sikua nayo. Nje kina duka, nikamwambia acha nikanunie, kurudi nakuta mlango umefungwa na taa imezimwaa.... [emoji3]
Duu! Tukiwambia Tumrudie Mungu Hamtaki
 
dah umenikumbusha,demu kaja geto anaanza kulia eti anasema sikuja kwa mambo ayo kuforce mwishowe akataka kutoka nje usiku,
nikaona nimuache tu,akaniambia next time atakuja rasmi ndio ikawa chenga mpaka leo.
 
Ni wachache sana watakuelewa katika hili..
 
Duhh pisi ilimkataa msela wangu msela akanirushia nikaizoea zoea nikaipa vizawadi cku ya b.day yake jpili nikaandamana nae church kutoka nkamdanganya ansindikize home nibadilishe viatu alaf namimi nimsindikize ,mtoto akajiloga akakubalii hadisi yangu itaendelea sikunyingine
 
Ndio rafiki wa kawaida tu
Hakuna urafiki wa Kawaida Kati ya me na dada yangu.
Hebu fikiria unaenda kwa kaka kumtembelea.
Halafu baada ya Saa Moja anakuja dada mwingine,kaka anakutambulisha kuwa huyu ni mpenzi wake.
Kisha wanakusindikiza halafu wao wanarudi hero.
Je urafiki wenu utaendelea? Kwa upande wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…