Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Ishanitokea tena this aprl,demu kaja geto stor za hapa na pale tukajikuta tupo kwny mahaba ya pesa yotee,mtt nimemnawa vya kutosha hadi anaanguka kama gogo,ila nikimpeleka kitandan anaenda na mzgo hatoi,nliamua kutumia tu democracy na kumuacha aende,imetokea ivo zaid ya mara mbili,ile ya tatu nikajarbu tumia force demu kaondoka kwa hasira....àaah!nikaona ni ujinga ko nikaamua tu kumpotezea,kilichonikwamisha ni baada ya hizo cku kuzamisha dem mwngine ndan ambaye n rafiki yangu tu..ila niliwakuta wapo nje wote kwan wako mapacha na tumepanga sehem moja,kile kitendo kilimkasirisha akawa hata salam hatoi na mm nikajikausha ivo ivo