Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mambo ya kuwa na project 20 ambazo hazitiki sio poa...!! Inabdi ukamilishe kwa hali na malii..
Sina desturi ya kutumia nguvu asee, nikianza romance then dem akaniambia hajisikii au hataki au yuko period ndio basi simgusi tena mpaka anaondoka au aanzishe yeye romance. Na akiondoka wala hatanisikia nikilalamika au kuomba appointment nyingine. Ilifikia hatua mmoja ikabidi aniulize, ''mbona una jeuri kiasi hiki?'' nikamwambia mapenzi ni starehe, sio vita wala mashindano. Mwisho wa siku, huwa wanaishia kuniletea kwa muda wao wenyewe and i like it that way!
 
Si kweli eti tukienda tembelea mwanaume tumekubali Tena unakuta huwazi kabisa hzo Mambo, wanaume tuheshimuni bana sio tunafika mwatukamata kwa nguvu.
Wengine hata hajawahi kukutongoza siku hyo unashangaa

Kwa ambao hamjatongozana hilo ni kosa kubwa sana.

Nipe mtazamo wako kwa mwanamke ambaye anaenda kumtembelea mwanaume ambaye wamesha tongozana, is it a green light?
 
Kwa ambao hamjatongozana hilo ni kosa kubwa sana.

Nipe mtazamo wako kwa mwanamke ambaye anaenda kumtembelea mwanaume ambaye wamesha tongozana, is it a green light?
Hata Kama umemtongoza mtu kuja haimaanishi kakukubali lakini lazima uheshimu maamuzi yake.
Ndio maana Mimi siendi kwa rafiki yoyote wakiume maana kugombana na urafiki kufa kabisa
 
Mwendo wa surprise tu aisee...!! Mwingine ukiondoka anakwambia na wewe unawahi kukataa tamaa mapema tatizoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si kweli eti tukienda tembelea mwanaume tumekubali Tena unakuta huwazi kabisa hzo Mambo, wanaume tuheshimuni bana sio tunafika mwatukamata kwa nguvu.
Wengine hata hajawahi kukutongoza siku hyo unashangaa
 
Hata Kama umemtongoza mtu kuja haimaanishi kakukubali lakini lazima uheshimu maamuzi yake.
Ndio maana Mimi siendi kwa rafiki yoyote wakiume maana kugombana na urafiki kufa kabisa

Nakuelewa, that is one good point. Kutoenda.

Tunakutana na wakati mgumu sana kwenye hizi mambo, kwa sababu hakuna wakati ambao mwanamke atakwambia niko tayari kufanya, especially for the first time between you two.

Ndiyo maana wakati mwingine wanaume wanaamua kujiongeza kwamba akija ndo siku yenyewe.
 
Mwendo wa surprise tu aisee...!! Mwingine ukiondoka anakwambia na wewe unawahi kukataa tamaa mapema tatizoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] hizo huwa tu hisia zenu bana
 
Nakuelewa, that is one good point. Kutoenda.

Tunakutana na wakati mgumu sana kwenye hizi mambo, kwa sababu hakuna wakati ambao mwanamke atakwambia niko tayari kufanya, especially for the first time between you two.

Ndiyo maana wakati mwingine wanaume wanaamua kujiongeza kwamba akija ndo siku yenyewe.
Nyie tu huwa mnafikiria kumwacha mwanamke bila kumgusa utaona anakuona si rijali, Ila kwangu naona ni mwanaume mwenye high self control
 
Wakuu, hii ni story ya kweli ya tukio likilonikuta few years ago.

Wakati nafanya kazi Dar es Salaam kwenye kampuni fulani ya usafirishaji, waliletwa wafanyakazi wapya watatu wa kike.

Kila ofisa mzoefu alikabidhiwa binti mmoja amfunze kazi pale kwa ofisi. Mimi nilikabidhiwa binti mmoja mrefu na mwenye shape kama Hamisa Mobeto(jina kapuni)

Ktk kumpa uzoefu kazini, tukazoeana hadi kufika stage ya kumpiga sound ila hakunipa jibu lolote ila akawa anaelewa hisia zangu sasa.

Baada ya wiki kadhaa, nikamkaribisha Getto... Akajibu tu nitakujuza nikiwa free.

Siku moja Jumapili, akanipigia simu, 'Mjina uko nyumbani?' nikamjibu ndio.

Akaniambia niko hapa makumbusho, nikitoka nakuja kukupa hi nyumbani kwako. Nikasema sawa.

Mwamba nikajikoki vilivyo, nikanunua zana kabisa, kisha nikaweka vinywaji kadhaa kwa friji pamoja na mbuzi choma kg 1 na ndizi rost

Baada ya 1hr hivi akaniambia nimepanda gari, nishukie kituo gani? Nikamwambia shuka Sinza Kumekucha (kituo feki hiki).. Haikupita muda akaniambia nimeshuka tayari njoo unichukue. Nikamwambia achukue boda imlete sehemu nilipo(nilimjuza boda via simu ya demu).

Baada ya muda kidogo akafika. Nikatoka na kumpokea nikamleta hadi getto. Ameingia ndani nikampa juice akanywa, pombe alisema hatumii.

Amekaa muda kidogo, akaanza kusema 'Mjina naondoka muda si mrefu',.. Mimi nikapotezea na story mbili tatu ili azoee kidogo. Lakini baada ya dk kadhaa tena akaniambia tena, Mjina naondoka baada ya nusu saa....' nikajiuliza huyu mtoto anataka dyudyu mapema mapema ili aondoke nini?... Nikasema ngoja nimsogelee nianze usumbufu kuona kama atalainika nimle..

Ile nimemsogelea tu, kuanza kumpelekea mkono, aliruka na kuanza kumind kuwa yeye kaja kunisalimu halafu mimi nimeanza kuwaza ngono..

Akamind kinyama very serious akachukia kabisa hadi akachukua vitu vyake na kusepa bila kuniaga. Wiki iliyofuata hakuongea na mimi kazini yote, ila baadae akaja kunitext tukarudi normal.

Baada ya muda wa wiki kadhaa, akanipigia tena simu siku ya Jumapili na kusema kajipanga kuja kwangu. Kipindi hiki sikuwa nimemwomba mimi aje, maana nilikua nishampotezea.

Alipofika getto, alinikuta nacheki movie yangu, akaketi na kuanza kuchek movie na mimi... Sikutaka kumgusa tena maana aliniudhi that day.. But nikasikia anasema tena kuwa Mjina ninaondoka si muda, nikamjibu sawa. But hakuondoka bali kila baada ya muda anarudia kuwa anataka kusepa.

Nikasema hii pisi itakuwa leo imekuja kwa ajili ya dyudyu... Nisipoila itanidharau.. Nikaisogelea, nikaanza kuipigisha story za mapenzi na baada ya muda nilipoona kama anapata hisia, nikaanza kupitisha mkono kwenye mapaja maana alikua kavaa skirt fupi.... Yaani akaleta Mchezo ule ule na akamind na kusepa.. Akanitumia txt nimsindikize, sikwenda na txt sikujibu.

Kazini tukarud akanisalimia namjibu kisha naendelea na mishe zangu. Nikawa mazoea sitaki kabisa maana pia kazi alishazoea.

Out of nowhere, weekend moja nimechill getto mida ya saa moja, nikasika mlango umegongwa, kufungua, mrembo huyu hapa tena.. Akaingia ndani wala sikumkaribisha.. Wala sikumpa maji, wala chochote cha kula/kunywa. Kwakua alikua kazoe pale kidogo, alijisevia mwenyewe huku mim nacheki movie nimejilaza kwenye kapeti pale sebuleni.. Yeye alijilaza kwenye sofa..

Baada ya muda akasema kachoka kulala kwenye sofa, akasogeza mto chini kwenye kapeti akaja akalala uelekeo ule niliokua nimelala. Sikua na time nae, ye ndo alikua akiniongelesha na kujichekesha. Ikatokea kuna wakati anajigeuza, akajikuta kaniwekea mkono kwenye kifua (nilikua kifua wazi).. Nilisisimuka mwili mzima huku dushe ikisimama kwa mwendokasi maana mikono ilikua laini ile.

Ushetani ukanipanda, nikamgeukia nikajaribu tu kushika ziwa... Alinyanyuka pale chini like flash na ku shout kuwa mimi tabia yangu ni ile ile kuwaza ngono kila akija.

Wakati huo mvua ilikua inanyesha, alivaa viatu vyake, akachukua mkoba wake na alikua na kimwavuli kidogo akasepa kwa hasira... Nili mind kinyama nikamtxt 'usikae uje getto kwangu tena'.. Ilikua majira ya saa tatu usiku. Basi baada ya ile txt yangu, akanipigia simu sana sikupokea.

Akanitumia txt..'Im sorry Mjina, I will give my body to you siku ukija kwetu kujitambulisha kuwa unataka kunioa'... Sikumjibu na nikampotezea mazima.

Sasa wakuu, kuna yeyote yule ameshawahi kutana na situation kama hii na dem kuja getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda? Au niko peke angu?

-------------------
Aisee hao mademu wapo uchagani tu,
 
Nyie tu huwa mnafikiria kumwacha mwanamke bila kumgusa utaona anakuona si rijali, Ila kwangu naona ni mwanaume mwenye high self control

Got you.

Nadhani pia inaendana na level ya jinsi mwanaume unavyoweza kusoma signs za go ahead na no go.
 
Si kweli eti tukienda tembelea mwanaume tumekubali Tena unakuta huwazi kabisa hzo Mambo, wanaume tuheshimuni bana sio tunafika mwatukamata kwa nguvu.
Wengine hata hajawahi kukutongoza siku hyo unashangaa
Ukija geto kwa kidume lazima utupiwe ndoano ni juu yako kuikwepa au kuimeza
 
Mwendo wa surprise tu aisee...!! Mwingine ukiondoka anakwambia na wewe unawahi kukataa tamaa mapema tatizoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiufupi hawaeleweki hao akija geto akikisha unamtupia kandoano
 
Got you.

Nadhani pia inaendana na level ya jinsi mwanaume unavyoweza kusoma signs za go ahead na no go.
But it's hard my dear wengine urafiki ni muhimu Bora tukutane hata sehemu nyingine tulivu tuongee na sio nyumbani
 
Kwahiyo uka mnyima kabisa ?
[emoji23][emoji23] Sasa nimpe ili iweje jamani, Mimi nimekuja kukusalimia staki mengine, nasikitika urafiki wetu ukafa, jamaa hanipendi mpaka kesho sijui alishafia wapi?
 
Back
Top Bottom