soft starter
Member
- Jul 5, 2020
- 17
- 7
uwe unatumia mbinu za kivita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi urafiki na mtoto wa kike huwa unawezekanaje ?Wanaume huwa mumejaa upumbavu Sana Sasa mtu wa kazini uzini naye sikujishishia heshima tu huko hafu ukute una kibamia chako, atoke kwako aende kwa mwingine wivu siutakuua.
Rafiki yangu aliwahi nialika kwake akaja akanichukua niende Mimi Sina wazo la mawazo ya kingono kufika eti anataka kunishika kinguvu nilimpiga kibao mpaka akaxinduka nikakimbia na kutoka nje, mpaka leo urafiki umekufa.
Mtu namfahamu hatukuwa na mahusiano kumbe ana agenda ya Siri moyoni aiseeHivi urafiki na mtoto wa kike huwa unawezekanaje ?
Wanaume wasiojielewa mzee baba angu anajielewa mno mbona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba baba yako umemuweka kando au na yeye ndani.
Wanaume wasiojielewa mzee baba angu anajielewa mno mbona
Unamisoma Nini jamani,na unaamini Nini?Hahaha, kwa ninavyokusoma humu, naamini ulichoandika ni kweli.
Unamisoma Nini jamani,na unaamini Nini?
Mzee wako angekua unavyotaka wanaume tuwe...sidhan hata wewe ungezaliwa...mnakula vya wanaume kutoa nyuchi hutaki...ukiwa mbishi tunakuwekea tu hata sex drop s.....mkizeeka mnaanza tafuta marafiki wa kiume watakao ishia kuwa wanandoaWanaume wasiojielewa mzee baba angu anajielewa mno mbona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi huu umenikumbusha mbali Sana tabia ka hizo za mleta mada hutukera wanawake wengi ukute tumezoeana mno,na hatuwezi ngono, Sasa ukienda tu utajutraa wallah, kilichonisikitisha ni urafiki wetu kufa, maana saa nyingine unawaza urafiki na nyie mkipewa tu mnakimbia, Mara nyingi hufanya hivo kulinda urafiki basiTone uliyoitumia kwenye ile post ya kumpiga jamaa kofi, maana umeandika kwa hasira kama vile sisi ndo tuliofanya lile kosa.
Umetukasirikia wana JF
Mimi sili na Cha mtu Bora nife na shida yangu, pia kwenye maisha siweki expectation kwa watu, na ndio maana Niko huru kabisa.Mzee wako angekua unavyotaka wanaume tuwe...sidhan hata wewe ungezaliwa...mnakula vya wanaume kutoa nyuchi hutaki...ukiwa mbishi tunakuwekea tu hata sex drop s.....mkizeeka mnaanza tafuta marafiki wa kiume watakao ishia kuwa wanandoa
Kwahiyo umri huu hata bwana wa kuzugua huna.....au unawakoboa wengine ndo maana unahasira hivyo 🐩🐩😀😀Mimi sili na Cha mtu Bora nife na shida yangu, pia kwenye maisha siweki expectation kwa watu, na ndio maana Niko huru kabisa.
Na hzo sex drops mtaniwekea wapi Sasa maana Niko makini mno
Mimi kuwa na bwana hzo ni personal matters, excuse me Mimi sikoboi Wala kukobolewa na yoyote heshimu mtazamo wangu na wallah Sina hasira yoyote please I begooKwahiyo umri huu hata bwana wa kuzugua huna.....au unawakoboa wengine ndo maana unahasira hivyo [emoji251][emoji251][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi huu umenikumbusha mbali Sana tabia ka hizo za mleta mada hutukera wanawake wengi ukute tumezoeana mno,na hatuwezi ngono, Sasa ukienda tu utajutraa wallah, kilichonisikitisha ni urafiki wetu kufa, maana saa nyingine unawaza urafiki na nyie mkipewa tu mnakimbia, Mara nyingi hufanya hivo kulinda urafiki basi
Sisi mbona tunaeleweka tu vizuri na huyo anayemtangaxa mwenzake iko jinsia zote Kuna wanaume hukutangaza flani Malaya nimepita naye kumbe hujawahi kufanya naye chochote, pia na Kuna wanawake wasiojielewa wanaweza eneza uzushi Ila wa design hyo ni very few compared na wanaumeNaelewa, sema pia nyie nao hamweleweki.
Mwingine akija akaondoka bila kuguswa anapeleka maneno kwamba umeshindwa kazi.
Kwa hiyo tunakuwa kwenye dilema, kujua kipi ni kipi.
Sisi mbona tunaeleweka tu vizuri na huyo anayemtangaxa mwenzake iko jinsia zote Kuna wanaume hukutangaza flani Malaya nimepita naye kumbe hujawahi kufanya naye chochote, pia na Kuna wanawake wasiojielewa wanaweza eneza uzushi Ila wa design hyo ni very few compared na wanaume
Wewe ujipeleke kwa mwanaume kichwa-kichwa tu kama kondoo anapelekwa machinjioni eti kisa rafiki yako, ulishaona wapi urafiki wa mwanamke na mwanaume![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi huu umenikumbusha mbali Sana tabia ka hizo za mleta mada hutukera wanawake wengi ukute tumezoeana mno,na hatuwezi ngono, Sasa ukienda tu utajutraa wallah, kilichonisikitisha ni urafiki wetu kufa, maana saa nyingine unawaza urafiki na nyie mkipewa tu mnakimbia, Mara nyingi hufanya hivo kulinda urafiki basi
[emoji16][emoji16][emoji16]Wanaume huwa mumejaa upumbavu Sana Sasa mtu wa kazini uzini naye sikujishishia heshima tu huko hafu ukute una kibamia chako, atoke kwako aende kwa mwingine wivu siutakuua.
Rafiki yangu aliwahi nialika kwake akaja akanichukua niende Mimi Sina wazo la mawazo ya kingono kufika eti anataka kunishika kinguvu nilimpiga kibao mpaka akaxinduka nikakimbia na kutoka nje, mpaka leo urafiki umekufa.
Mtu mgonjwa kwenda kumsalimia ni kosa maana sikuwahi kula hata Mia mbili, yake na ni mtu niliyemweshimu Sana, kumbe yeye ataka ngono, hafu mjue wanawake tukija kwenu hatujafata hzo ngono zenu tunataka heshima zetu.Wewe ujipeleke kwa mwanaume kichwa-kichwa tu kama kondoo anapelekwa machinjioni eti kisa rafiki yako, ulishaona wapi urafiki wa mwanamke na mwanaume!
Na mjirekebishe kula vya wanaume, ukila ukubali na wewe ukienda geto uliwe.
Si kweli eti tukienda tembelea mwanaume tumekubali Tena unakuta huwazi kabisa hzo Mambo, wanaume tuheshimuni bana sio tunafika mwatukamata kwa nguvu.True, kuna simple theory kwamba mwanamke akienda kumtembelea mwanaume kwake, amekubali kufanya naye.
Sasa hii huwa inasababisha mambo kama hayo. Sema pia kuna uzembe unatokea, kwa sababu kama sijawahi kukutongoza, ukaja nikakuvamia ni kosa.
Ila chukulia mfano nilishawahi kukutongoza, iwe hujakubali lakini ukaja kunitembelea, nafikiri hapo ni kama nimejibiwa ndiyo.