Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
But it's hard my dear wengine urafiki ni muhimu Bora tukutane hata sehemu nyingine tulivu tuongee na sio nyumbani
Yes, kiuhalisia nyumbani siyo sehemu sahihi za mwanamke na mwanaume kutembeleana.
Labda tu kama ni kifamilia, au ile kiofisi mnafika kwa mwenzenu kupaona kwake, event au kama kuna kitu cha muhimu mtu unafata.
Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wa kutembeleana nyumbani na iendelee kuwa salama.