Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Achana na habari za kusikia sikia, nasikia nayo ni waumini kama ninyi na mnasali sehemu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na habari za kusikia sikia, nasikia nayo ni waumini kama ninyi na mnasali sehemu moja
Imeandikwa;Lakini imeandikwa ombeni lolote kwa jina langu nitalifanya ili baba atukuzwe ndani ya mwana
Sidhani kama kuzungunza nao ni dhambi?
Zamani nilikuwa na chuki nao sana hawa viumbe ila leo nataka ni prove wrong
Ushawahi ona mganga anajichinja?Yesu kusukubiwa ni sawa na kutolewa kafara Kwa ajili ya viumbe alivyoviumba mwenyewe,
Ni sawa na mganga anavyo chinja Kuku Kwa ajili ya kafara
malaika wa kwenye kuran sio malaika wasafi. hapa tunaongelea malaika walotumwa na Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, yaani Mungu wa Israel ambaye sio mungu wa kwenye icho kitabu chako. kwa Mungu wa kweli wa Israel hata sasaivi unaweza kuona malaika. wanaweza kuja physically, wanaweza kujibadilisha na kuvaa miili ya mwanadamu akala hadi chakula kabisa, au anaweza kuja kwa saudi tu usimwone vyovyote vile Mungu apendavyo yeye aje.Soma Quran jifunze kuhusu jibril
Nakumbuka ana ndevu.Kwahyo Mkuu umemuona Yesu akiwa na ndevu 🤣🤣🤣
Hapana.Yesu uliyemuona anafanana na huyu wa kwenye movie???
[emoji23][emoji23]maybe ,maybe not , mkuu unaweza kuta ulipatana na mtu choka mbaya akakuomba msaada wa kitu unakiweza ukapuuza kumbe ndo malaika huyo .wengi tunangoja kiumbe na mabawa ,Hahaha huyo sio malaika chief
Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie, ampe na kauli thabit mbele yako.Mke wangu nahisi ni Malaika sio Mwanamke wa kawaida.
Amiin. Amin...Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie, ampe na kauli thabit mbele yako.
Yaani wewe ni Mimi kbsa
Mkuu umenipa somo...malaika kuja maishani mwako sio lazma aje na mabawa ,anakuja kwa namna yoyote ile[emoji23][emoji23]maybe ,maybe not , mkuu unaweza kuta ulipatana na mtu choka mbaya akakuomba msaada wa kitu unakiweza ukapuuza kumbe ndo malaika huyo .wengi tunangoja kiumbe na mabawa ,
Nikupe kisa kingine cha pili ...
2019 kabla corona tu nlikuwa nimesua kiuchumi sana kuna rafiki wa dhati alinitapeli hela kubwa sana nikiitamka utaona nadanganya.
Sasa banae njiani nkitoka kusini kulikuwa kunanyesha nlipatana na majamaa wawili barabara ya mwitu kona kuu .
Wakanisimamisha wakiomba lift , nlihofia ila nkaskia sauti flani hivi siwezi ielezea ikaniambia hao usiwapite niwema.
Nikawapa lift almost kilomita 70 hvi wakashuka ,njiani tulipiga gumzo sana kuhusu uchumi n.k. walishuka wakiniombea baraka nyingi kwa usaidizi .
Waliposhuka tu kumbuka ni usiku na mataa ya gari yapo on na tulikuwa mbali na mijengo kama mita 400 hvi kugeuka nipige mlango wa nyuma lock nikiangalia mbele hawapo ,nkajiambia yaani sekunde 3 napiga lock wamefika kwa yale majengo ila nkapuuza .
Mwezi ule mkuu hela ilinikimbiza kweli kweli , inshort ile gap ya pesa sikuimaliza ila ilibakia kiasi ambacho kule kusua kuliisha .
Malaika anakuja kwa njia nyingi kukupima imani ,wengi tunafeli mitihani midogo sana
Yule wa betting sio malaika...[emoji23][emoji23]maybe ,maybe not , mkuu unaweza kuta ulipatana na mtu choka mbaya akakuomba msaada wa kitu unakiweza ukapuuza kumbe ndo malaika huyo .wengi tunangoja kiumbe na mabawa ,
Nikupe kisa kingine cha pili ...
2019 kabla corona tu nlikuwa nimesua kiuchumi sana kuna rafiki wa dhati alinitapeli hela kubwa sana nikiitamka utaona nadanganya.
Sasa banae njiani nkitoka kusini kulikuwa kunanyesha nlipatana na majamaa wawili barabara ya mwitu kona kuu .
Wakanisimamisha wakiomba lift , nlihofia ila nkaskia sauti flani hivi siwezi ielezea ikaniambia hao usiwapite niwema.
Nikawapa lift almost kilomita 70 hvi wakashuka ,njiani tulipiga gumzo sana kuhusu uchumi n.k. walishuka wakiniombea baraka nyingi kwa usaidizi .
Waliposhuka tu kumbuka ni usiku na mataa ya gari yapo on na tulikuwa mbali na mijengo kama mita 400 hvi kugeuka nipige mlango wa nyuma lock nikiangalia mbele hawapo ,nkajiambia yaani sekunde 3 napiga lock wamefika kwa yale majengo ila nkapuuza .
Mwezi ule mkuu hela ilinikimbiza kweli kweli , inshort ile gap ya pesa sikuimaliza ila ilibakia kiasi ambacho kule kusua kuliisha .
Malaika anakuja kwa njia nyingi kukupima imani ,wengi tunafeli mitihani midogo sana
Wanaonekana mbona physically, ukitafuta baadhi ya video pitia YouTube utaona zipo zimenaswa pitia surveillance camera zimekua zikuoneshaMalaika anakutokea kwa njia ya kibinadam (kutupitia watu) au maono/ndoto. Na mara nyingi ni ngumu kufahamu kama kiroho haujakomaa.
Usitegemee kumuona malaika physically.
Kwanza ingia google andika invocation au evocation of spirit utapata majibu, then Tafuta malaika unayetaka umuone, then hapo tena ndio uta search kama unataka iu invoke au ui evocation huyo spirit..Nipe introduction
Ingia YouTube utashuhudia vitu vipo mbona fanya tafiti zaidi, zipo camera zilizonasa baadhi ya matukioKwaiyo hakuna aliyewahi kumuona
Dah shida inawezekana umezaliwa kipindi cha digitali unasahau kuna kipindi kilikuwa cha magazeti na ma Typewritting ...Wee jamaa! Ulienda Nairobi na mizigo yoote hiyo iliyokuwa kwenye mabegi kutafuta chuo? Chuo kinatafutwa kama unatafuta bidhaa dukani? Acha urongo wewe!
Hujawahi kutaka kuyajua majibu ndio maana hujapata majibu. Nisawa na mtu aliyefeli somo na hataki kujua kilichofanya afeli ni nini hasa katika hilo somoLabda tungepata tafsiri ya malaika. Ila moja ya story yangu binafsi ilyoniacha na maswali mwaka 2020 nliota ndoto ambayo nilikua nusu nimelala nusu Niko macho nikiongeleshwa na mtu ambaye hakutaka nimuone sura yake" aliniambia "huyu si mtoto wetu' angalia nyusi angalia kucha angalia na lips" Kisha akapotea nikawa Niko macho sielewi ninini kimetokea ni ndoto au ni live. Asubuhi nikapigiwa simu na dada mmoja aliyejitambulisha kuwa ni shangazi wa binti mmoja ambaye kwa muda huo alikua mjamzito( nililea Ile mimba) akaniambia mwenzio amejifungua salama. Nilijiandaa Kwenda kumuona nikanunua na baadhi ya vitu nimefika pale Ile sauti ikajirudia Tena ndio nikakumbuka kilichotokea usiku nikawa makini kumuangalia yule mtoto bila kupepesa macho hakuwa mwanangu. Tukio Hilo nashindwa kuelezea yule aliyekuja kuniambia ndotoni alikua ni nani Hadi Leo sijawahi kupata jibu
Mkuu Ushamaliza kila Kitu Tatizo la Binadamu ni Ego...Imeandikwa;
Yohana 14:14
[14]Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
If ye shall ask any thing in my name, I will do it.
Yakobo 4:3
[3]Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
Ye ask, and receive not, because ye ask amiss, that ye may consume it upon your lusts.
Zingatia .
Au michepuko inachachishwa, unashangaa unamuona demu anatoa harufu mbayambaya hadi haumtaki tena😄Kila nikimcheet mke wangu ndoto nyingi za uncertainty hunitokea kwa hunionya nisimwache huyo mwanamke (mke wangu),na baada ya muda mchache wa ndoto huwa naachana na mchepuko.