SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😂bro Acha wahadithiane banaSasa huyo mjumbe mbona hakuna aliye Wai kumuona, Zaidi ya story Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂bro Acha wahadithiane banaSasa huyo mjumbe mbona hakuna aliye Wai kumuona, Zaidi ya story Tu
Wewe hizi habar umezipata wapi , Je ni wewe mwenyewe umewaona, AU ni Hadithi umeha dithiwa,Uking'ang'ana kuwaona malaika Mungu anaweza kukuonyesha lakini katika mizania ya imani utakuwa umepwaya saana! Maumbo ya malaika ni makubwa na ni warefu na wanautukufu wa mwanga kiasi kwamba kama wanataka uwaone kwanza watakushushia upako/divine annointment ya furaha/amani ili hatakama ukiwaona usiogope! Wengine wana mabawa lakini wengine ni kama binadamu! Kutokana na Maumbo ya malaika kuwa makubwa,
Nyie mnaoshobokea kuwaona malaika mtaishia kuona mashetani! Malaika kikawaida hawataki kuonekana kwa wanadamu labda kwasababu maalum! Mashetani yangependa hata yaishi kama wanadamu na yako tayari kuonekana ukifuata taratibu za mashekhe mbona unawaona faster?Wewe hizi habar umezipata wapi , Je ni wewe mwenyewe umewaona, AU ni Hadithi umeha dithiwa,
Mimi binafsi siogopi kumuona Malaika hata kama ana umbo kubwa kiasi Gani,
Kwanza nikimuona kwa umbile lake ndio nitafurahi Zaidi.
Achana nao hawa mkuu, wafia dini ni wajinga.Malaika mwenye uwezo wa kuja kama mwanadamu Ni aina mbili tu Malakh na Cherubim (Makerubi)
Nawewe unataka kuona malaika?Nimechelewa ila nahisi kamba zilizopigwa hapa sio za nchi hii😂😂
Muhamad kamuona, inatoshaSasa huyo mjumbe mbona hakuna aliye Wai kumuona, Zaidi ya story Tu
Pray without ceasingJana sikuona chochote ndio mrejesho huo
huo hapo mstari unaelezea maserafiWee jamaa! Biblia hipi unasoma yenye picha! Utakuwa mkatoliki wewe!
Kama mtu anaona wachawi iweje Malaika wasionekane..Roho huyohuyo anayemfunulia mtu wachawi wanapoenda kumuwangia ana uwezo pia wa kumfunulia mtu aone malaikaInauwezekano lakini Kwa nyakati hizi ni nadra sana ,though huwezi kuwaona Kwa haya macho yako ya damu na nyama,wanaishi kwenye spiritual realm.lazima roho yako iwe regenerated ndio unaweza kuanza kuona spiritual entities,na SI malaika peke yake hata Pepo,wachawi n.k
achana na quran ushawahi kumuona malaika,tunataka kuujua ukweli,kama ni story za kusadikika au la.Soma Quran jifunze kuhusu jibril
Mi sitaki anitokee ili niwe naogopa kufanya dhambiNawewe unataka kuona malaika?
Mkuu kwanza mimi sio mkatoliki wala dini yoyote..Wee jamaa! Biblia hipi unasoma yenye picha! Utakuwa mkatoliki wewe!
Malaika ni mdogo baada ya Mungu ni binadamu kisha malaika then shetaniMhhh
Duuh point sana mimi sitaomba tena milele yote niwaone ila sasa nataka njia yake tu, hivi tofauti ya binadamu na malaika ni ipi?
Nani Mkuu nani anamtumikia mwenzie
eti malaika n mdogo kuliko binadamu....duuh...hayo n mafundisho ya kiquruani labdaMalaika ni mdogo baada ya Mungu ni binadamu kisha malaika then shetani
Malaika wapo kumtumikia Mungu na sisi
Nikitulia nitakuonyesha maandiko ndani ya biblia
4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;
6 Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
hakuna malaika walokole narudia tena hakunaaaaaaaaKwa ufupi malaika ni wajumbe wa Mungu wa Biblia! Kuna malaika wasiokuwa na miili wanaokuja kwa mission maalum na malaika ambao ni Walokole (hapa naongelea walokole wa ukweli sio wale wanaojitafuta) kibiblia wanaitwa "malaika", katika kitabu cha Ufunuo "kwa malaika wa makanisa yale saba", hao malaika wanaotajwa ni "walokole"! Mungu wa Biblia anaweza kuwatumia walokole walioko hapa duniani kufanyakazi kama "malaika" wasiokuwa na miili!
Sauli baadae Paulo akiwa muovu aliisikia sauti ya Yesu KristoIli umuone malaika utakatifu unahitajika. Malaika ni watakatifu mtu mchafu hawezi kumuona