Mkuu haya ndo maumbo na sura za malaika kwa mujibu wa Biblia..
Na kama utabahatika kusoma Angeology Utajua nachomaanisha..
kuna
Makerubi ambao ndo malaika ngazi ya kwanza na Malaika wote ambao huitwa Arch Angel wote wapo kwenye group hili Kina Michael(Mikaeli) ,Gabriel, Raphael..
Hawa ndo huwa na uwezo wa kuongea na Mungu moja kwa moja na ukisikia malaika kaasi ujue ni Makerubi...
na kuna
Seraphine (Maserafi)Hawa ndo wale walio Levo ya Pili baada ya Makerubi hawa hawana muda wa kuhoji wala Kuuliza maagizo ya Mungu wenye kutenda kama agizo lilivyo...
Na kamwe ukisikia Malaika wameasi au wameanguka Huwezi kuta mmojawapo akawa serafi wana utii wa hali ya juu sana... Kuna
Malakh ambao hawa ni wajumbe na mara nyingi huweza kuchukua maumbo ya Vitu ,Wanyama au watu japo wenyewe hawana Umbo....kundi la nne ni
Ophanim
Hivi ndivyo wanavyoonekana Kwa Pamoja..kwa Mujibu wa Biblia
View attachment 2825413
Ntafafanua baadae KIMOJA BAADA YA KINGINE