Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Amen Mungu wa mianga unaweza toa maelfu
Fungua Yakobo 1:17Amen Mungu wa mianga unaweza toa maelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen Mungu wa mianga unaweza toa maelfu
Fungua Yakobo 1:17Amen Mungu wa mianga unaweza toa maelezo
Amen Mungu wa mianga unaweza toa maelfu
Fungua Yakobo 1:Amen Mungu wa mianga unaweza toa maelezo
Hana mbususu?Mke wangu nahisi ni Malaika sio Mwanamke wa kawaida.
Hongera sana hapo nimeona bado najifunzaFungua Yakobo 1:17
huku sio MMU heshimu mada basiHana ****?
Maana nasikiaga eti malaika hawanaga vifanyio
Hello natafuta majibu hasa kwa wenye uzoefu, hebu tupe story
Ilikuwaje
Anaonekanaje
Alisema nini
Na mimi nataka kuona nifanye nini nipo kwenye research nataka kuuona ulimwengu mwingine sasa sitaki kukaa kizembe hebu nipeni uzoefu na mimi niwe miongoni mwa watu wanaotafuta ukweli kwa macho yangu
Ikiwa na wewe mpenda story stay tunned tuwasikilize marafiki zetu
Be wiseWewe ni mbishi sana
Je wewe tokea Uwe mchamungu amewai kumuona Malaika?Kuwa mcha Mungu.
Kwan mtoto akimuona Malaika,siatakuja kukuambia Baba nimemuona MalaikaWewe ni mbishi sana
Na kwanini Mungu amtume malaika kwa mtoto mdogo ambae hawezi mfundisha kitu chochote mtu mzima na uelewa wake unakuwa mdogo? Au unadhani kumuona malaika ni just as flexing ya utakatifu tu au? Umekazania la mtoto mtakatifu mtakatifu ko utakatifu ni kumuona malaika tu?Kwan mtoto akimuona Malaika,siatakuja kukuambia Baba nimemuona Malaika
Sijawahi kuwaona lakini nashangaa nawajua kuliko maelezo na tabia zao! Mambo ya kiroho yana mafunuo! Kama ni msomaji mzuri wa Biblia ni kama unafunuliwa ulimwengu wa roho na kuona uhalisia wake! Mungu anapenda saana kumuendea kwa imani sio kuona! Kwa imani malaika wapo tena wengi wanatuzunguka na kutulinda na kutusaidi/kuwasaidia wamchao! Uking'ang'ana kuwaona malaika Mungu anaweza kukuonyesha lakini katika mizania ya imani utakuwa umepwaya saana! Maumbo ya malaika ni makubwa na ni warefu na wanautukufu wa mwanga kiasi kwamba kama wanataka uwaone kwanza watakushushia upako/divine annointment ya furaha/amani ili hatakama ukiwaona usiogope! Wengine wana mabawa lakini wengine ni kama binadamu! Kutokana na Maumbo ya malaika kuwa makubwa, si rahisi kuonekana kwa macho kibinadamu labda uombe na ujiandae kisaikolojia ukiwaona la sivyo unaweza kuogopa ndo maana wanatanguliza upako wa kujisikia una amani! Kama nilivyosema, walokole vile vile utumwa kama malaika kwasababu tunafanana maumbo sawa! Moja ya sifa ya walokole ni maombi! Anapokuwa anaomba, anaweza kuchukuliwa kutoka mbali akajakwako akatatua tatatizo alafu usimwone tena!Je wewe tokea Uwe mchamungu amewai kumuona Malaika?
Ulikutana na malaika mlokole alipokuwa anaomba akatumwa kwako kwa maelekezo kama alivyofanya na hutakuja kumuona tena! Uenda labda tuseme ulikuwa Dar, huyo mlokole alitumwa kutoka mbali na mkoa wa Dar labda tuseme kutoka Bukoba! Anaweza kutumwa kutoka nje ya nchi na akaongea lugha ya kwako ukashangaa kwasababu ya kunena kwa lugha!Mimi Kuna kijana nilikutana nae kwenye basi la gongo la mboto nakumbuka nilipandia mawasiliano(simu200)tulikaa sit ya mwisho kabisa kulia,nakumbuka aliniambia anasoma UDSM,kama si sociology ni Bcom.
Alinisalimia vizuri nikamwitikia marahaba. nakumbuka nilikua vyombo sana,Baada ya Salam akaweka poz kidogo baadae akaniambia nimejisikia Kuomba na wewe,nikamwambia all is well let's pray,nakumbuka alinisalisha Sala ya Toba na akasali Kwa kitambo kidogo.Mwisho wa siku nikashuka majumba sita,aisee nilikoswakoswa kugongwa na DCM,nikajiambia moyoni hakika yule kijana alikua Malaika wangu.
Kama Yupo huku tafadhali naomba uni PM.
Umeanza uongo.Jitahidi tu ukisome. Ni kitabu Bora kuliko vitabu vyote duniani na mbinguni
Na hii ndio shida ya JF. Tuna kizazi cha hovyo kinachowaza ngono na MIZAHA katika kila uzi.huku sio MMU heshimu mada basi
Ni sahihi japo pia malaika hujifunua kwa namna mbalimbali kwa umbo la kibinadamu either kwa umbo kubwa(Majitu) kama vijana wa kiume au kama watoto wadogo.Sijawahi kuwaona lakini nashangaa nawajua kuliko maelezo na tabia zao! Mambo ya kiroho yana mafunuo! Kama ni msomaji mzuri wa Biblia ni kama unafunuliwa ulimwengu wa roho na kuona uhalisia wake! Mungu anapenda saana kumuendea kwa imani sio kuona! Kwa imani malaika wapo tena wengi wanatuzunguka na kutulinda na kutusaidi/kuwasaidia wamchao! Uking'ang'ana kuwaona malaika Mungu anaweza kukuonyesha lakini katika mizania ya imani utakuwa umepwaya saana! Maumbo ya malaika ni makubwa na ni warefu na wanautukufu wa mwanga kiasi kwamba kama wanataka uwaone kwanza watakushushia upako/divine annointment ya furaha/amani ili hatakama ukiwaona usiogope! Wengine wana mabawa lakini wengine ni kama binadamu! Kutokana na Maumbo ya malaika kuwa makubwa, si rahisi kuonekana kwa macho kibinadamu labda uombe na ujiandae kisaikolojia ukiwaona la sivyo unaweza kuogopa ndo maana wanatanguliza upako wa kujisikia una amani! Kama nilivyosema, walokole vile vile utumwa kama malaika kwasababu tunafanana maumbo sawa! Moja ya sifa ya walokole ni maombi! Anapokuwa anaomba, anaweza kuchukuliwa kutoka mbali akajakwako akatatua tatatizo alafu usimwone tena!
Wanavyo..Hana mbususu?
Maana nasikiaga eti malaika hawanaga vifanyio