Ulishawahi kupendwa na mpenzi wa rafiki yako?

Yees baada ya kuhitim form six nikaenda mkoani shinyanga kufundisha shule moja ya kata huko sasa kuna jamaa tulikua tunafundisha nae

Ck moja kuna mechi pale shuleni toka shule jirani na ktk ile shule nlikua nafundisha hakukuepo na Mwl wa kike sasa kuna mdada mmoja HV ambae alisomea pale shuleni then akaenda kusoma certificate ya uandish wa habar sasa ck hiyo alikuepo pale kijijin akaombwa na walimu wa pale aje asaidie kuchezesha netball kwa wasichana

Sasa mm nlikua bze kuorganize timu ya wavulana huku so ckua na mda wa kufuatilia yaliyokua yanaendelea upande wa wasichana sasa baada ya mechi zote kuisha ndo nikamchek yule Binti ni Binti Fulani amaizing black beauty halafu amepanda juu mm ckujali kivile coz girls waliopanda juu are not my favourite so ckumtilia maanani kivile ila kuna mshkaj yule tuliekua tunafundisha nae akamuelewa yule dem akafuatilia akapata namba akawa anawasiliana nae na Mara nyng uck yule dem akiongea na mshkaj anauliza village fooler yuko wap nimsalimie

Nikawa naongea nae na ck zngne mshkaj alikua anaazma cm yangu anampgia dem akasave namba zangu akawa Mara ananitext Mara namm namjib kama shemj yangu coz jamaa alikua ashatangaza Nia ya kuchukua jumbo! Akakaa kama week 2 HV yuko pale kijijin na jamaa akashndwa kuchakata papuchi mpaka dem anaondoa kwenda shy town jamaa ameshndwa kbs alikua anakuja mpk ghetto jamaa anashndwa sasa dem akaanza kuhamisha penz kwangu sema mm nlikua cjamuelewa sasa baada ya dem kwenda town akawa ananipgia cm Mara nyng kuliko kawaida.

Sasa ck moja nkapata safar ya ghafla kwenda town ilikua kushughulikia masuala ya application za chuo uck nikamtext dem kesho inakuja town akanijib " jitahd tuonane" nkajib poa kesho yake by SAA 2 nishafka mjin nikamtext dem nkamwambia I'm in town now akajib ukimalza mishe zako niambie nije tuonanane nkajib poa, nkafanya application nkamaliza kwny SAA 7 hv nikamtext nkamuambia nshamalza njoo stnd tuonane ili niwah usafr akajib kwan una haraka gan nkamjib nawai usafr cna mpango wa kulala town bila issue ya kueleweka akajib hata kuonana na mm

Ni ishu ya kueleweka akasema chonde chonde usiondoke bila kuonana namm nkajib poa, nakakaa kama nusu SAA hv hajafka nkapga cm yake hakupokea baada ya muda mfup akatuma text ucwe na haraka chukua room guest upumzike tutalala wote nkasema mambo c ndo haya sasa naenda kula tunda kimasihara hapa.

Nkawa mpole nkaenda nkatafta lodge nkachukua chumba nkaweka mizigo yangu then nkaingia misele mpk SAA 12 akanipgia kuuliza uko wap nkamuelekeza akaja na boda nkaenda kumpokea mpk chumbani nakajilia zangu tunda mpk asubuh na dem alikua mtamu balaaa kuanzia hapo nkaanza kuwapend madem waliopanda hewan Ni watam balaa Mungu awabariki popote pale mlipo!

Ila nlivoondoka kesho yake kufika kule shuleni mshkaj hata hakuhic ktu nkamwambia tu mtandao ulikua unasumbua ckumalza application kwa wakati tukaendelea kuwasiliana nae akihimiza nirudi nimchakate papuchi yake ila ckuwai tena kurudiana nae wala kuonana nae ck zlisonga nkabadili namba za cm ndo ukawa mwanzo wa kupotezana nae mpaka leo ....
 
siasa mbaya sana
 
Ndio mimi nilipendwa na demu wa rafiki yangu ambae alikuwa shangazi wa mjomba wangu aliekuwa na ukoo wa bibi kizaa babu yake na shangazi wa mjomba aliekuwa binamu wa Bibi yake babu kizaa mama yake na shangazi wa kaka yake...

Naomba niishie hapo nakuja kuendelea..
 
Mimi nilipendwa na demu wa rafiki yangu ambae ambae tumesoma wote kuanzia shule ya msingi mpaka chuo tulikua mkoa mmoja na ukizingatia tunaishi kijiji kimoja siku moja akanambia twende nikuoneshe yule demu nae kuhadithiaga kila siku,baada ya kutambulishwa basi tukabadilisha namba kwa ajili ya salamu za hapa na pale kama shemeji yangu,kumbe demu baada ya kufika home kwao akaanza salamu za mitego mitego flani baadae akaamua kufunguka baada ya kuona sijamuelewa "mimi nimekupenda wewe rafiki yako simpendi naomba tuwe wapenzi".
 
vp jamaa alikuja gundua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…