Ulishawahi kupendwa na mpenzi wa rafiki yako?

Village fooler,
Nje ya mada. Kama ulikuwa unafundisha wanafunzi kwa mwandiko huu nawahurumia sana.
Nyie mliosoma HKL unazngua sana hapo unamaind kwamba kuna sehem nlitakiwa kuweka comma cjaweka au kuna sehem inatakiwa kuweka nukta cjaweka sio?? By the way nlikua cfundish masomo yanayoendana na maelezo advance nmesoma PCM na pale nlikua nafundisha maths shule nzima na wanafunz walikua wanaelewa vzr tu hawakujali mwandiko kama wewe
 
Bado hujajua kosa lako. Ukikua utajua. Acha utoto kama hujui kuandika kwa ufasaha shule ulisomea ujinga au?
 
Hujanipeleka shule wala hujanilipia ada kama nimesomea ujinga inakuhusu nini? Mind your own business!! Kujua kwangu au kutokujua kwangu kuandika kwa ufasaha haukuongezei wala kukupunguzia kitu Fanya yako yanayokuhusu
 
Nafurahi kuwa dawa imekuingia na umeandika kwa ufasaha. Ndio ilikuwa lengo langu. Unaona inavyopendeza ukiandika kitu kinaeleweka? Keep it up.
 
Nilipendwa na roommate wa demu wangu, kipindi icho nikiwa chuo kikuu flan iviii pale morogoro nahic sababu mkubwa ya mate wa demu wangu kunipenda n kutokana na story za demu wangu alikuwa ana hadithia kila rafiki juu ya mm hasa kwenye kumgegeda.
Nakumbuka siku iyo mida ya saa 4 usiku npo room kwako while demu wangu Kalala kitanda cha chini nikiwa mie nmekaa tu, sasa ile nasimama kaaga demi aliekuwa kitanda cha juu akanipa simu nimuandikie namba yangu, kibaharia zaidi nikatekeleza.
Mwisho wa siku nikaanza kuhudumia wote ila yule wa zamani alivyokuja Tambua alimind sana nikamwambia reason n ww kwani kila kitu ulikuwa unakuja waambia rafiki zako juu ya kugegedana kwetu.
Ila mtoto wa Tukuyu nakumiss nakumbuka sana papuchi yako ilivyokuwa inavuta kwa ndani ka urimbo iviii....!
 
Mimi ninae hadi Leo japo ni mchepuko ilikuwa hivi rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake Ila hawakuwahi kuganya sex kwa miaka miwili kawasababu mwanamke alikuwa dar jamaa mkoani.
Sasa mwanamke akaja mkoani akamtafta jamaa wakaonana ila hawakufanya chochote jamaa angu akaja kijiwen kwangu akanipa feedback mwishoni akaniambia "Chilogole nakupa namba ya yule demu ili uhangaike nae" nikamuuliza kwann wakati ni shemela wangu jamaa akaniambia." Yule ni anatako kubwa Mimi simuwezi kabisa ".wakati huo Mimi sijawahi muona huyo mwanamke basi nikachukua namba nikakomaa kama siku tatu nikamla nikweli ameumbika sio utani halafu ni white ile Og.
Jamaa nikamwambia kuwa tayari kesha liwa akachukia kabisa na kwenda kumlumu yule mwanamke siku nimetulia zangu kijiweni nikaona simu ya yule mwanamke inaita kupokea akaanza kuniponda kwann namtangaza, aisee ikabidi nimwambie ukweli kuwa nilipewa namba na rafiki yangu..... Ili nikugonge basi nikamaliza mchezo jamaa akapewa za uso hadi naandika hivi jamaa ameniblock

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atare mkuu
 
balaa hilo
 
lete kisa chako mkuu
Ni story ndefu sana ila kwa kifupi tu ni kwamba, demu wangu alikuwa na rafiki yake walioshibana sana na nilikuwa simjui kabisa,
Wakati huo mimi nipo wilaya tofauti na wao,
Tatizo lilianza kwa demu wangu huyo alichange ghafla na ubusy mwingi, kumbe kuna jamaa pembeni anajilia vyake,
Kuna siku alishinda kwa huyo rafiki yake n aliaga kwao analala huko, ilivyofika time ya saa 2 usiku napiga simu hapatikani, aseee nilikesha napiga simu tu,kuja kupatikana ni saa 2 asubuh, kumuuliza vipi anadai ilizima chaji.
Nikaanza upelelezi wa kimya kimya, mwisho wa siku best ake hakunificha kitu akanambia situation yote ilivyo na anavyoenda kulala kwa jamaa kila weekend, iliniuma sana lkn huyo shemeji akawa ndo mfariji wangu, nikaapa kufanya revenge kwa best ake.baada ya kinizungusha sana mwisho wa siku akanasa, ile kupiga tu nkanogewa mazima,
mahusiano yakakomaa na tukawa tunaenda sawa kwa vitu vingi sana,
Baada ya miezi kama 6 hivi akapata ujauzito,kila kitu kilianzia hapo..
 
vipi yule rafiki yake ameachwa au?
 
basi huyo rafiki yake anaonaje wivu
 
Mimi ninae hadi Leo japo ni mchepuko ilikuwa hivi rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake Ila hawakuwahi kuganya sex kwa miaka miwili kawasababu mwanamke alikuwa dar jamaa mkoani.
Sasa mwanamke akaja mkoani akamtafta jamaa wakaonana ila hawakufanya chochote jamaa angu akaja kijiwen kwangu akanipa feedback mwishoni akaniambia "Chilogole nakupa namba ya yule demu ili uhangaike nae" nikamuuliza kwann wakati ni shemela wangu jamaa akaniambia." Yule ni anatako kubwa Mimi simuwezi kabisa ".wakati huo Mimi sijawahi muona huyo mwanamke basi nikachukua namba nikakomaa kama siku tatu nikamla nikweli ameumbika sio utani halafu ni white ile Og.
Jamaa nikamwambia kuwa tayari kesha liwa akachukia kabisa na kwenda kumlumu yule mwanamke siku nimetulia zangu kijiweni nikaona simu ya yule mwanamke inaita kupokea akaanza kuniponda kwann namtangaza, aisee ikabidi nimwambie ukweli kuwa nilipewa namba na rafiki yangu..... Ili nikugonge basi nikamaliza mchezo jamaa akapewa za uso hadi naandika hivi jamaa ameniblock

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa mna tabia zisizopendeza kuwa nazo wanaume.
 
Back
Top Bottom