Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuuNaiona.......Upcoming thread...mithili ya kula tunda kimasihara
usipite bwana toa kisa
Pole😂Hapana
SijaelewaPole[emoji23]
mh!Naomba urekebishe swali...
Nilishwahi kupendwa na wapenzi wa marafiki zangu, jibu ni ndioo lazima nimle demu wa rafiki yangu ndio jamaa aqualify kua rafiki yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole tu..😉Sijaelewa
[emoji86]Niliwahi pendwa na Kaka wa mwanaume wangu wa kwanza
Nikapendwa na rafiki yake(huyu mpaka kesho analalama)[emoji41]
Nikapendwa na bwana wa rafiki yangu..hapa ukawa ugomvi mkubwa
HayaPole tu..[emoji6]
Dah!...ulimsaliti rafiki yako.Yeah,nilipendwa na demu wa rafiki yangu,Rafiki yang niliishi nae ghetto miaka 8,Dem alikua anakuja ghetto nawapisha na wakati mwingine analala kabisa ghetto.
Shemeji yangu huyo ni wale familia za uzungu mwingi.
Alinizoea sana,anaweza nipigia simu hata saa zima tunaongea (enzi za tigo extreme).
Alinitega kwa miaka zaidi ya miwili.
Kama mwanaume nilivumilia ila ilifika sehem nilishindwa,ilibidi nipige.
Cha kushangaza siku niliopewa mchezo uwezi kuamini binti alikua ni "BIKRA".
Najua utakua unajiuliza ilikuaje nawapisha ghetto hata saa ingine wanalala mpaka asubuh na jamaa hajatoboa.
All in all jamaa aliwahi kutufumania.Alilia kama mtoto.
Kuhusu kupendwa nashukuru hio bahat ninayo sana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa ninaeBinafsi sijawahi kupendwa na demu wa rafiki yangu.
Kama wewe ulishawahi kupendwa na demu wa rafiki yako tuelezee ilikuaje kuaje.
Siasa mbaya sana.