Kitambo kidogo, nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu ambaye nilikuwa nimemwacha kiumri miaka mitano yeye alikuwa na miaka 20.
Kipindi kile Mlimani city jioni walikuwa wanakaa wakaka fulani hivi sio kila mtu. Sasa kati ya hao makaka nilikiwa mmoja wao.
Sasa yule binti alikuwa ananibania sana kuanza kula tunda, alijitetea sana na alikuwa ana shinda, kwa hiyo ikawa inapita tu, tunatoka na hatufanyi kitu.
Siku moja nikambadilishia upepo na kumwambia leo sina hamu ya kwenda sehemu kama mlimani city n.k, nataka twende ufukweni. Akakubali, kwa sharti la kuwa aje na rafiki yake ambaye tulikuwa tunatokaga naye mara moja moja.
Basi tulibeba pombe kali, tukaenda ufukwe mmoja ya wazi tukawa tumepumzika kwenye gari. Basi yhle rafiki wa manzi yangu, akashauri tuvute sigara kali. Basi kwa sababu nilikuwa natumjaga mara moja moja tukawa tunapiga huku tunakunywa pombe kali.
Mpenzi wangu 'akazima', akawa amelala ndank ya gari mimi nikiwa natembea tembea mbele ya gari. Basi yule rafiki yake alijikaza na kuja 'kunibusu' jambo ambalo halikuwahi kuwa mazoea yetu, na kuniambia kuwa ananipenda na yuko tayari kumwibia rafiki yake penzi.
Enzi zile si unajua ujana, nikaingia kwenye gari nikaona mtu kazimika, na yule mpenzi wangu alipaswa jioni ile arudi nyumbani kwao, kwa hiyo ilikuwa nk lazima tumwamshe tukiwa tunataka kuondoka. Basi ndani ya dk 10 thkawa tumeyajenga kati ya mimi na rafiki wa mpenzi wangu.
(Naishia hapo kutii swali la mleta uzi[emoji38][emoji23])
Sent using
Jamii Forums mobile app