Hii kitu ni mbaya sana,Ilishawah kutokea mara ya 3,
mara ya kwanza mshikaj ilibid tu nimuambie,Japo msichana ananichukia mpk Kufa hadi leo.
Mara ya pili kwa mshikaj wangu mwingine tena,hii sikumwambia mshikaj ila ilibid nitengeneze distance tu kuepusha kama haya ya mara ya kwanza.
Mara ya tatu hapa mshikaj mwenyew ndo alizingua Dalili za msichana wake kunipenda niliziona mapema ila nkaweka distance kama kawaida,kuna upuuzi mshikaj alinifanyia ndo kabsa akanipa hasira za kupita na mshichana wake(baada ya kugundua kuwa girlfriend wake ananipenda jamaa ndo akaanza kunikandia ileile,akamimina kila kitu mpk mambo ya familia yangu)kwa girlfriend wake,,msichana alinifuata na kuniambia kila kitu na mengine kuniuliza kama ni kweli,Ilinikata kinoma Kwa hasira nkaanza kudate na huyo mshichana wake ndo mpk leo niko nae na nahis anaweza kuwa mke huko mbelen.
Sent using
Jamii Forums mobile app