[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ninarafiki yangu (me) nilifahamiana nae 2016 tulikuwa tunaishi compound moja..
Huyu bwana tulizoeana sana mwaka jana tukapiga “game”lisilotarajiwa kabisa.kwa madai yake anasema aliinjoi sana na kutaka tuendelee lakini kwangu ilikuwa tofauti kabisa.Sikuwa nikihitaji kurudiana nae aiseeh
Tukapotezana kwa mda kidogo alienda kuishi sehemu nyingine na huko akaanzisha familia(alioa) mwaka jana mwishoni tukaanza kuwasiliana tena yeye alikuja kwa style ya kupiga game lakini sikuliruhusu hilo [emoji817].
Tuliendelea kuwasiliana.mwezi wa 12 mwaka jana,nilikuwata nae kwa ferry nikamwambia natakfuta nyumba sehemu fulani kigamboni,,akasema ngoja nikupe namba ya rafiki yangu huyu atakusaidia kupata nyumba huko unakokutaka maana nae anaishi hukohuko nikasema sawa.nikachukua namba nikaanza kuwasiliana nae.(hawa ni marafiki tangu utotoni mwao)
Tukapanga siku ya kwenda kuangalia nyumba(nilijua ni dalali wallah)[emoji23][emoji23][emoji23]ok tukaonana nikaiona hiyo nyumba(lets not talk abt nyumba)ingawa sikuipenda.nikaendelea na maisha mengine kama kawaida.siku moja niko nyumbani nimejichokea nikaona siku kama haiendi nikafunga safari kwenda kijiweni kwake nikasema ngoja niende nikamuulizie kama ana nyumba zingine ambazo naweza kuzicheki.
Kufika kijiweni hola!hayupo nikawauliza washkaji zake kuhusiana nae wakaniambia huyo sio dalali(nikaonyeshwa madalali sasa)kumbe alikuwa ameenda kukusanya mizigo ya ofisini kwake.
Aliporudi akanikuta tukasalimiana pale tukajikuta tunakuwa marafiki tangu siku hiyo aisee[emoji4] jamaa anamoyo wa ajabu sijawahi kuona aisee..ni mkaka mzuri lakini yuko rafu saana hajipendi kwenye kuvaa hata kidogo lakini moyo alionao ni tofauti na anavyoonekana anavyoongea,maneno yanayotoka kinywani mwake,malengo aliyonayo [emoji817]tofauti na mwonekano.
Hyu bwana 90 % tunafanana kwa kila kitu aloo.wikend nikiwa nyumbani ni lazima niende kazini kwake atanunua whiskey tutakunywa mdogomdogo mpaka naondoka kurudi kwangu.nikawa nimemjua vitu vingi bila yeye kujua.n i tell you guys napataga furaha sana nikikaa nae huyu bwana yeye halijui hilo[emoji4][emoji4]
Wiki kama mbili zimepita yule rafiki yangu aliyeniunganisha na huyu mwingine akanipigia simu uko wapi?nikamwambia niko nyumbn napika!!akasema siko mbali na kwako hapa niko na rafiki yangu naweza kupitia hapo??nikamwambia hakuna shida pita tu so ikabidi niongeze chakula cha watu watatu.
Yes wakaja tukala mwisho rafiki yake akaaga anaenda kumtumia mtu tgopesa atarudi tukasema sawa.[emoji15][emoji15]kumbe bwana alikuwa anataka kuamsha dude chaaa..nikamwita “fulani”there’s something i want to tell you..he was like mhm!! “I love your friend”but am sorry to say this.then i stopped.he was shocked.but i ddnt even care aiseh
Mshkaji ninayempenda hajui kama ninampenda kiasi hicho.yes we kissed only once na tena siku hiyo kuna kitu kilinivuruga mno nikajikuta nalia sana.akanibembeleza[emoji4][emoji4] na kunikumbatia ingawa alikuwa ananuka jasho aise[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwishowe tukakiss[emoji8][emoji8]
Aise ikitokea naikawa nae nitakuwa na kazi kubwa mno ya kum’badilisha vile ninavyotaka maaana[emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957]
Kimuonekano kama ndo mara ya kwanza unakutana nae akwambia anakutaka unaweza kukimbia wallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .ni msomi mzuri tu lakini huo muonekano..[emoji2296][emoji2296][emoji2296] Unaweza toka nduki.
Tunakoelekea tutapiga game tu [emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23].
Rafiki wa mwanzo kanichunia mazima.
Sijali hata kidogo[emoji23][emoji23]