Ulishawahi kupendwa na mpenzi wa rafiki yako?

Ulishawahi kupendwa na mpenzi wa rafiki yako?

Yees baada ya kuhitim form six nikaenda mkoani shinyanga kufundisha shule moja ya kata huko sasa kuna jamaa tulikua tunafundisha nae

Ck moja kuna mechi pale shuleni toka shule jirani na ktk ile shule nlikua nafundisha hakukuepo na Mwl wa kike sasa kuna mdada mmoja HV ambae alisomea pale shuleni then akaenda kusoma certificate ya uandish wa habar sasa ck hiyo alikuepo pale kijijin akaombwa na walimu wa pale aje asaidie kuchezesha netball kwa wasichana

Sasa mm nlikua bze kuorganize timu ya wavulana huku so ckua na mda wa kufuatilia yaliyokua yanaendelea upande wa wasichana sasa baada ya mechi zote kuisha ndo nikamchek yule Binti ni Binti Fulani amaizing black beauty halafu amepanda juu mm ckujali kivile coz girls waliopanda juu are not my favourite so ckumtilia maanani kivile ila kuna mshkaj yule tuliekua tunafundisha nae akamuelewa yule dem akafuatilia akapata namba akawa anawasiliana nae na Mara nyng uck yule dem akiongea na mshkaj anauliza village fooler yuko wap nimsalimie

Nikawa naongea nae na ck zngne mshkaj alikua anaazma cm yangu anampgia dem akasave namba zangu akawa Mara ananitext Mara namm namjib kama shemj yangu coz jamaa alikua ashatangaza Nia ya kuchukua jumbo! Akakaa kama week 2 HV yuko pale kijijin na jamaa akashndwa kuchakata papuchi mpaka dem anaondoa kwenda shy town jamaa ameshndwa kbs alikua anakuja mpk ghetto jamaa anashndwa sasa dem akaanza kuhamisha penz kwangu sema mm nlikua cjamuelewa sasa baada ya dem kwenda town akawa ananipgia cm Mara nyng kuliko kawaida.

Sasa ck moja nkapata safar ya ghafla kwenda town ilikua kushughulikia masuala ya application za chuo uck nikamtext dem kesho inakuja town akanijib " jitahd tuonane" nkajib poa kesho yake by SAA 2 nishafka mjin nikamtext dem nkamwambia I'm in town now akajib ukimalza mishe zako niambie nije tuonanane nkajib poa, nkafanya application nkamaliza kwny SAA 7 hv nikamtext nkamuambia nshamalza njoo stnd tuonane ili niwah usafr akajib kwan una haraka gan nkamjib nawai usafr cna mpango wa kulala town bila issue ya kueleweka akajib hata kuonana na mm

Ni ishu ya kueleweka akasema chonde chonde usiondoke bila kuonana namm nkajib poa, nakakaa kama nusu SAA hv hajafka nkapga cm yake hakupokea baada ya muda mfup akatuma text ucwe na haraka chukua room guest upumzike tutalala wote nkasema mambo c ndo haya sasa naenda kula tunda kimasihara hapa.

Nkawa mpole nkaenda nkatafta lodge nkachukua chumba nkaweka mizigo yangu then nkaingia misele mpk SAA 12 akanipgia kuuliza uko wap nkamuelekeza akaja na boda nkaenda kumpokea mpk chumbani nakajilia zangu tunda mpk asubuh na dem alikua mtamu balaaa kuanzia hapo nkaanza kuwapend madem waliopanda hewan Ni watam balaa Mungu awabariki popote pale mlipo!

Ila nlivoondoka kesho yake kufika kule shuleni mshkaj hata hakuhic ktu nkamwambia tu mtandao ulikua unasumbua ckumalza application kwa wakati tukaendelea kuwasiliana nae akihimiza nirudi nimchakate papuchi yake ila ckuwai tena kurudiana nae wala kuonana nae ck zlisonga nkabadili namba za cm ndo ukawa mwanzo wa kupotezana nae mpaka leo ....
Mkuu hii post unonaje ukaipeleka kule kwa masihara?

《Caprichar o teu sorriso》
 
Dahh mselawangu naeishinae kama ndugu geto moja aligharamikia dem ila chalii udhaifuwake niswaga achabana mtoto angukie kwangu kilichofwata nimimikujifanya muhuni mlevi kibaka ilikunusuru usela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani we si mwanamme wa Dar? Nyie hamueleweki, machoni mnaonekana kuwa malijali kumbe mnashikishwa ukuta na kupakatwa na wanaume wenzenu.
una uhakika??au nawewe umeskia umbea kutoka kwa wamama wenzio.
 
Ni story ndefu sana ila kwa kifupi tu ni kwamba, demu wangu alikuwa na rafiki yake walioshibana sana na nilikuwa simjui kabisa,
Wakati huo mimi nipo wilaya tofauti na wao,
Tatizo lilianza kwa demu wangu huyo alichange ghafla na ubusy mwingi, kumbe kuna jamaa pembeni anajilia vyake,
Kuna siku alishinda kwa huyo rafiki yake n aliaga kwao analala huko, ilivyofika time ya saa 2 usiku napiga simu hapatikani, aseee nilikesha napiga simu tu,kuja kupatikana ni saa 2 asubuh, kumuuliza vipi anadai ilizima chaji.
Nikaanza upelelezi wa kimya kimya, mwisho wa siku best ake hakunificha kitu akanambia situation yote ilivyo na anavyoenda kulala kwa jamaa kila weekend, iliniuma sana lkn huyo shemeji akawa ndo mfariji wangu, nikaapa kufanya revenge kwa best ake.baada ya kinizungusha sana mwisho wa siku akanasa, ile kupiga tu nkanogewa mazima,
mahusiano yakakomaa na tukawa tunaenda sawa kwa vitu vingi sana,
Baada ya miezi kama 6 hivi akapata ujauzito,kila kitu kilianzia hapo..
Hongera
 
Nina rafiki yangu kafanana na Korede Bello basi kila goma langu likimjua huyu jamaa tu ujue nitachezea za uso. Kama yupo JF akiona huu uzi atajaza shuhuda hapa..
Hahaha
 
Yeah,nilipendwa na demu wa rafiki yangu,Rafiki yang niliishi nae ghetto miaka 8,Dem alikua anakuja ghetto nawapisha na wakati mwingine analala kabisa ghetto.
Shemeji yangu huyo ni wale familia za uzungu mwingi.
Alinizoea sana,anaweza nipigia simu hata saa zima tunaongea (enzi za tigo extreme).
Alinitega kwa miaka zaidi ya miwili.
Kama mwanaume nilivumilia ila ilifika sehem nilishindwa,ilibidi nipige.

Cha kushangaza siku niliopewa mchezo uwezi kuamini binti alikua ni "BIKRA".

Najua utakua unajiuliza ilikuaje nawapisha ghetto hata saa ingine wanalala mpaka asubuh na jamaa hajatoboa.

All in all jamaa aliwahi kutufumania.Alilia kama mtoto.

Kuhusu kupendwa nashukuru hio bahat ninayo sana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh
 
😊😊😊😊😊
Ninarafiki yangu (me) nilifahamiana nae 2016 tulikuwa tunaishi compound moja..
Huyu bwana tulizoeana sana mwaka jana tukapiga “game”lisilotarajiwa kabisa.kwa madai yake anasema aliinjoi sana na kutaka tuendelee lakini kwangu ilikuwa tofauti kabisa.Sikuwa nikihitaji kurudiana nae aiseeh

Tukapotezana kwa mda kidogo alienda kuishi sehemu nyingine na huko akaanzisha familia(alioa) mwaka jana mwishoni tukaanza kuwasiliana tena yeye alikuja kwa style ya kupiga game lakini sikuliruhusu hilo 💯.

Tuliendelea kuwasiliana.mwezi wa 12 mwaka jana,nilikuwata nae kwa ferry nikamwambia natakfuta nyumba sehemu fulani kigamboni,,akasema ngoja nikupe namba ya rafiki yangu huyu atakusaidia kupata nyumba huko unakokutaka maana nae anaishi hukohuko nikasema sawa.nikachukua namba nikaanza kuwasiliana nae.(hawa ni marafiki tangu utotoni mwao)

Tukapanga siku ya kwenda kuangalia nyumba(nilijua ni dalali wallah)😂😂😂ok tukaonana nikaiona hiyo nyumba(lets not talk abt nyumba)ingawa sikuipenda.nikaendelea na maisha mengine kama kawaida.siku moja niko nyumbani nimejichokea nikaona siku kama haiendi nikafunga safari kwenda kijiweni kwake nikasema ngoja niende nikamuulizie kama ana nyumba zingine ambazo naweza kuzicheki.

Kufika kijiweni hola!hayupo nikawauliza washkaji zake kuhusiana nae wakaniambia huyo sio dalali(nikaonyeshwa madalali sasa)kumbe alikuwa ameenda kukusanya mizigo ya ofisini kwake.

Aliporudi akanikuta tukasalimiana pale tukajikuta tunakuwa marafiki tangu siku hiyo aisee😊 jamaa anamoyo wa ajabu sijawahi kuona aisee..ni mkaka mzuri lakini yuko rafu saana hajipendi kwenye kuvaa hata kidogo lakini moyo alionao ni tofauti na anavyoonekana anavyoongea,maneno yanayotoka kinywani mwake,malengo aliyonayo 💯tofauti na mwonekano.

Hyu bwana 90 % tunafanana kwa kila kitu aloo.wikend nikiwa nyumbani ni lazima niende kazini kwake atanunua whiskey tutakunywa mdogomdogo mpaka naondoka kurudi kwangu.nikawa nimemjua vitu vingi bila yeye kujua.n i tell you guys napataga furaha sana nikikaa nae huyu bwana yeye halijui hilo😊😊

Wiki kama mbili zimepita yule rafiki yangu aliyeniunganisha na huyu mwingine akanipigia simu uko wapi?nikamwambia niko nyumbn napika!!akasema siko mbali na kwako hapa niko na rafiki yangu naweza kupitia hapo??nikamwambia hakuna shida pita tu so ikabidi niongeze chakula cha watu watatu.

Yes wakaja tukala mwisho rafiki yake akaaga anaenda kumtumia mtu tgopesa atarudi tukasema sawa.😳😳kumbe bwana alikuwa anataka kuamsha dude chaaa..nikamwita “fulani”there’s something i want to tell you..he was like mhm!! “I love your friend”but am sorry to say this.then i stopped.he was shocked.but i ddnt even care aiseh

Mshkaji ninayempenda hajui kama ninampenda kiasi hicho.yes we kissed only once na tena siku hiyo kuna kitu kilinivuruga mno nikajikuta nalia sana.akanibembeleza😊😊 na kunikumbatia ingawa alikuwa ananuka jasho aise🤣🤣🤣mwishowe tukakiss😘😘

Aise ikitokea naikawa nae nitakuwa na kazi kubwa mno ya kum’badilisha vile ninavyotaka maaana😂😂🤪🤪

Kimuonekano kama ndo mara ya kwanza unakutana nae akwambia anakutaka unaweza kukimbia wallah🤣🤣🤣🤣 .ni msomi mzuri tu lakini huo muonekano..🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Unaweza toka nduki.

Tunakoelekea tutapiga game tu 😉😉😉😂😂😂.
Rafiki wa mwanzo kanichunia mazima.
Sijali hata kidogo😂😂
Tupe mrejesho it's 5 years now
 
Nina mademu kama watatu wa rafiki zangu wananipenda ila siwezi kusimulia kiundani kivile kwani jamaa watajuwa na kuniwinda. Kuna mmoja anataka sana kuzaa na mimi ila nimemwambia anipe muda nifikirie. Mwingine alikuja mwenyewe nyumbani kunifuata na kuniambia anavyojisikia ila nisimwambie mshikaji wangu, ila huyu ipo siku tu. Huyu wa mwisho yeye alinivulia kabisa nguo na kuanza kulia ghetoni kwangu kwamba ana hamu nami, sikumlazia damu nikampa kichapo na mpaka leo bado nakula naye sahani moja yaani ni kama vile demu wangu.
Hongera sana mkuu
 
Hii kitu ni mbaya sana,Ilishawah kutokea mara ya 3,
mara ya kwanza mshikaj ilibid tu nimuambie,Japo msichana ananichukia mpk Kufa hadi leo.

Mara ya pili kwa mshikaj wangu mwingine tena,hii sikumwambia mshikaj ila ilibid nitengeneze distance tu kuepusha kama haya ya mara ya kwanza.

Mara ya tatu hapa mshikaj mwenyew ndo alizingua Dalili za msichana wake kunipenda niliziona mapema ila nkaweka distance kama kawaida,kuna upuuzi mshikaj alinifanyia ndo kabsa akanipa hasira za kupita na mshichana wake(baada ya kugundua kuwa girlfriend wake ananipenda jamaa ndo akaanza kunikandia ileile,akamimina kila kitu mpk mambo ya familia yangu)kwa girlfriend wake,,msichana alinifuata na kuniambia kila kitu na mengine kuniuliza kama ni kweli,Ilinikata kinoma Kwa hasira nkaanza kudate na huyo mshichana wake ndo mpk leo niko nae na nahis anaweza kuwa mke huko mbelen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mmeoana
 
Back
Top Bottom