Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ni njaa mkuu. Hakuna kitu kibaya Kama njaa. Yaani binti mwenye njaa anaona ni halali kulipwa akishavuliwa nguo.Ila waafrica bhna, haya mambo ya kulipishana hela kama unanunua bidhaa sio poa Kabisa!
Hahahaa nimeoa mke kabisa huyo baadae. Ni mchaga wa Rombo tena Shayo ila yule mzee marehem alikua hana shida kabisaHao walikuwa ni Wasambaa au wapare wenzangu
Mambo ya kisukuma. Wanaita ngwekwe. Kuidai hadi mnatangaza uaduiIlikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari
500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao
500,000 kumgomboa Mtoto dah
Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo hii kimya nikajaga kusikia kuna jamaa alimuoga binti akiwa singo mazaa na mtoto jina anatumia ubini wa Mshikaji
Kimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui shangaz na ndugu wengine..jumla kama 7 hvIla waafrica bhna, haya mambo ya kulipishana hela kama unanunua bidhaa sio poa Kabisa!
Una mpango wa kuishi kumbe? Kuwa na roho ngumuMm imenikuta hiyo nmempa mtt wa mtu mimba alikuwa chuo cha kati , tupo tunaishi nae juzi juzi tulienda kujitambulisha kwao tulikuwa hatujawahi kufika na wala hata sifahamiki , tu kaambiwa tulipe fain tukauliza kias gan waka sema ngoja wa discuss jibu walilo rudi nalo fain million mbili na nusu tukaomba wapunguze wakagoma Basi tukaondoka tumepanga tukutane nao tena mwezi huu, sijui kama tutalipa hicho kias
Aisee! Haya mambo bhna, Najaribu kuwaza kiasi cha pesa kama ulikataa ujauzito then bdae mtoto akabainika ni wa kwako hahahahahKimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui
Warombo fresh ila wengine ni hatari ya danger! Mila Mila Mila Kumbe uroho wa nyama tuHahahaa nimeoa mke kabisa huyo baadae. Ni mchaga wa Rombo tena Shayo ila yule mzee marehem alikua hana shida kabisa
Duu we jamaa unajiamini hahahaKimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui shangaz na ndugu wengine..jumla kama 7 hv
Nikawekwa kikaangoni...msemaji wa familia(ba mkubwa) akazungumza weeee mwisho wa siku Faini ikawa milion 2.5
UrewediHao walikuwa ni Wasambaa au wapare wenzangu
Ndewedi mcheku wa kaaurewedi
Ni njaaa tuuNi njaa mkuu. Hakuna kitu kibaya Kama njaa. Yaani binti mwenye njaa anaona ni halali kulipwa akishavuliwa nguo.
Tofauti na binti Kama daktari ama mhandisi anayekula mshahara wake juu ya 3M ,usafiri anao,makazi anayo,pesa anayo,na makazi sio ilimradi makazi.
Huyu atahitaji mwanaume anayempenda amridhishe kimapenzi Ila hawezi omba 50k ili atoe k yake. Jamani njaa ni mbaya Sana.
Yaani binti anaona ni halali kulipwa utadhani sie huwa tunawapa miti na huku ni nyama kwa nyama. Naye anamhitaji mwanaume
Mambo ya mzee nyangeSubiria huyo mtt awe waziri ndipo utajua Kama haujui
Yaani kwasababu ya Milioni moja unapoteza damu yako na mbususu??.Mimi nisingeweza kukubali.Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari.
Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo hii kimya nikajaga kusikia kuna jamaa alimuoga binti akiwa singo mazaa na mtoto jina anatumia ubini wa Mshikaji.
- 500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao.
- 500,000 kumgomboa Mtoto dah.
Muhimu ni kulipa hata kiasi kidogo tu.Mimi imenikuta hiyo nmempa mtt wa mtu mimba alikuwa chuo cha kati , tupo tunaishi nae juzi juzi tulienda kujitambulisha kwao tulikuwa hatujawahi kufika na wala hata sifahamiki, tu kaambiwa tulipe fain tukauliza kias gan waka sema ngoja wa discuss jibu walilo rudi nalo fain million mbili na nusu tukaomba wapunguze wakagoma Basi tukaondoka tumepanga tukutane nao tena mwezi huu, sijui kama tutalipa hicho kiasi.