Ulishawahi kupigwa faini kwa kumzalisha au kumpa mimba binti kabla ya ndoa? Kama ndio hebu tupe ushuhuda

Ulishawahi kupigwa faini kwa kumzalisha au kumpa mimba binti kabla ya ndoa? Kama ndio hebu tupe ushuhuda

Ila waafrica bhna, haya mambo ya kulipishana hela kama unanunua bidhaa sio poa Kabisa!
Ni njaa mkuu. Hakuna kitu kibaya Kama njaa. Yaani binti mwenye njaa anaona ni halali kulipwa akishavuliwa nguo.
Tofauti na binti Kama daktari ama mhandisi anayekula mshahara wake juu ya 3M ,usafiri anao,makazi anayo,pesa anayo,na makazi sio ilimradi makazi.

Huyu atahitaji mwanaume anayempenda amridhishe kimapenzi Ila hawezi omba 50k ili atoe k yake. Jamani njaa ni mbaya sana.

Yaani binti anaona ni halali kulipwa utadhani sie huwa tunawapa miti na huku ni nyama kwa nyama. Naye anamhitaji mwanaume
 
Hao walikuwa ni Wasambaa au wapare wenzangu
Hahahaa nimeoa mke kabisa huyo baadae. Ni mchaga wa Rombo tena Shayo ila yule mzee marehem alikua hana shida kabisa
 
Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari

500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao

500,000 kumgomboa Mtoto dah

Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo hii kimya nikajaga kusikia kuna jamaa alimuoga binti akiwa singo mazaa na mtoto jina anatumia ubini wa Mshikaji
Mambo ya kisukuma. Wanaita ngwekwe. Kuidai hadi mnatangaza uadui
 
Mimi imenikuta hiyo nmempa mtt wa mtu mimba alikuwa chuo cha kati , tupo tunaishi nae juzi juzi tulienda kujitambulisha kwao tulikuwa hatujawahi kufika na wala hata sifahamiki, tu kaambiwa tulipe fain tukauliza kias gan waka sema ngoja wa discuss jibu walilo rudi nalo fain million mbili na nusu tukaomba wapunguze wakagoma Basi tukaondoka tumepanga tukutane nao tena mwezi huu, sijui kama tutalipa hicho kiasi.
 
Ila waafrica bhna, haya mambo ya kulipishana hela kama unanunua bidhaa sio poa Kabisa!
Kimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui shangaz na ndugu wengine..jumla kama 7 hv

Nikawekwa kikaangoni...msemaji wa familia(ba mkubwa) akazungumza weeee mwisho wa siku Faini ikawa milion 2.5

1 milion ya kumgomboa mtoto
1.5 ya kumzalisha mwanao nje ya ndoa

Walivyomaliza kuongea nikauliza maswali 2 tu yaliyowafanya wabak wanatoa macho

Kwanza niliwauliza,hiyo faini ipo kisheria?au wamejitamkia?nchi inaongozwa na sheria,kama hyo sheria ipo ntalipa kama haipo SILIPI hata sumni

Pili nikawauliza,binti yenu ana miaka chini ya 18?si mtu mzima 28 years?nilimbaka?si aliridhia mwenyewe kushika mimba?kwa nn nilipe wakati mtoto ni wetu?

Mwisho wa siku mtoto anakaa kwa mama ake..kumuona namuona..kwangu anakuja na ubin anatumia wangu...kwisha habari
 
Mm imenikuta hiyo nmempa mtt wa mtu mimba alikuwa chuo cha kati , tupo tunaishi nae juzi juzi tulienda kujitambulisha kwao tulikuwa hatujawahi kufika na wala hata sifahamiki , tu kaambiwa tulipe fain tukauliza kias gan waka sema ngoja wa discuss jibu walilo rudi nalo fain million mbili na nusu tukaomba wapunguze wakagoma Basi tukaondoka tumepanga tukutane nao tena mwezi huu, sijui kama tutalipa hicho kias
Una mpango wa kuishi kumbe? Kuwa na roho ngumu
 
Kimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui
Aisee! Haya mambo bhna, Najaribu kuwaza kiasi cha pesa kama ulikataa ujauzito then bdae mtoto akabainika ni wa kwako hahahahah
 
Hahahaa nimeoa mke kabisa huyo baadae. Ni mchaga wa Rombo tena Shayo ila yule mzee marehem alikua hana shida kabisa
Warombo fresh ila wengine ni hatari ya danger! Mila Mila Mila Kumbe uroho wa nyama tu
 
Ila kumkomboa mtoto ni kama ulitia mimba kisha ukatokomea yaani hukulea mimba wala mtoto hadi hapo ndo kama unarudisha gharama za watu ila kama uli hudumia hamna kukomboa mtoto labda hiyo faini ya kuzalisha pasipo na ndoa
 
Kimenikuta hiko...nilimzalisha bint mmoja hv..sasa mtoto akiwa na miez 3 akanambia mama ake mzaz anahitaj anione(anakaa na mama ake,mzee ashatangulia mbele za haki)..nikafunga safari nikaenda..kufika kumbe kilikuwa kikao bhana..yupo ba mkubwa sijui shangaz na ndugu wengine..jumla kama 7 hv

Nikawekwa kikaangoni...msemaji wa familia(ba mkubwa) akazungumza weeee mwisho wa siku Faini ikawa milion 2.5
Duu we jamaa unajiamini hahaha
 
Ni njaa mkuu. Hakuna kitu kibaya Kama njaa. Yaani binti mwenye njaa anaona ni halali kulipwa akishavuliwa nguo.
Tofauti na binti Kama daktari ama mhandisi anayekula mshahara wake juu ya 3M ,usafiri anao,makazi anayo,pesa anayo,na makazi sio ilimradi makazi.

Huyu atahitaji mwanaume anayempenda amridhishe kimapenzi Ila hawezi omba 50k ili atoe k yake. Jamani njaa ni mbaya Sana.

Yaani binti anaona ni halali kulipwa utadhani sie huwa tunawapa miti na huku ni nyama kwa nyama. Naye anamhitaji mwanaume
Ni njaaa tuu
 
Ukimtia mimba na wakwe wakazingua unawafungia vioo wote!

Milioni kwa uchumi uliopondwa na ccm unaipata wapi?

Chadema ikiingia madarakani tutatoa hata 10m bila kukalamika.
 
Aisee mm ndo najiandaa hapa, ila matunzo ya mtoto natoaaa
 
Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari.
  • 500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao.
  • 500,000 kumgomboa Mtoto dah.
Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo hii kimya nikajaga kusikia kuna jamaa alimuoga binti akiwa singo mazaa na mtoto jina anatumia ubini wa Mshikaji.
Yaani kwasababu ya Milioni moja unapoteza damu yako na mbususu??.Mimi nisingeweza kukubali.
 
Mimi imenikuta hiyo nmempa mtt wa mtu mimba alikuwa chuo cha kati , tupo tunaishi nae juzi juzi tulienda kujitambulisha kwao tulikuwa hatujawahi kufika na wala hata sifahamiki, tu kaambiwa tulipe fain tukauliza kias gan waka sema ngoja wa discuss jibu walilo rudi nalo fain million mbili na nusu tukaomba wapunguze wakagoma Basi tukaondoka tumepanga tukutane nao tena mwezi huu, sijui kama tutalipa hicho kiasi.
Muhimu ni kulipa hata kiasi kidogo tu.
 
Back
Top Bottom