Ulishawahi kupigwa faini kwa kumzalisha au kumpa mimba binti kabla ya ndoa? Kama ndio hebu tupe ushuhuda

wewe ndio umeonesha msimamo
salute kwako
 
Sitasahau nilimpiga mimba binti, nilipoona mizinguo nikamshauri tukaitoe.

Akalia saana na kunambia kwake hii mimba ni zari la mentari kwasababu ukoo wao wana tatizo la kutopata watoto.

Nilipojifanya kauzu nikapelekwa Ustawi wa Jamii! Duh!
Nilipigwa bonge la fine ya kila mwezi, na siku moja nikafuatwa na polisi kazini kwangu wakaweka mkazo, nilishika adabu. Maana walinambia nashawishi mauaji.

Baada ya dogo kuzaliwa akawa kidume photocopy yangu. Niliwaza mengi sana!!!!!
Nilijikuta naongeza dau mwenyewe.

Now, dogo ana 4 yrs, huwa nikienda kumcheck kwa mamake namshukuru Mungu, japo kwa siku zile niliona napitia magumu.
 
mi nasubiria awamu yangu ,najiandaa huko UCHAGANI nikapigwe faini
 
Iliwahi nitokea nilipigwa faini ya mbuzi watatu kila mbuzi 50,000 nikalipa 150,000 maisha yakaendelea mtoto wangu na mamake tunafamilia sasa
kama ni mimi,aisee hao mbuzi tutawala wote,yaani wachome nyama mimi ntaongezea bia za baridiii.... si ndiyo maana ya kutuunganisha au??
 
hahahaahahahaha....pole mkuu
 
Halafu akipeleka hiyo pesa lazima alete mbuzi wa kuchinja, wa bibi yake na babu wa mtoto; kesho yake wanachinja mbuzi wa babu yake binti, etc yote hiyo mila ya kula nyama na kunwa mbege kwa kisingizio cha MILA. Bado Komba kyaruu
tufahamiane,uchagani wapi huko??? hahaha
 
Aacha uduanzi mila na sheria za nchi ni vitu 2 tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…