Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Not nonsense but Kuna kityu ambacho people uwa wajagundua about Medical people most uwa si waandishi wazuri but not all so am sorry for miss taken
kityu

Yaani pamoja na wadau kukwambia kote uko kuhusu uandishi wako bado unaandika utopolo tu.
Eti "kityu"[emoji848]
 
Daaaah!!! Daktari thamani yako inatakiwa ianzie kwenye maandishi yako.. Mpangilio wa mwandiko ni a very proxy measure of your capabilities.

Pole sana!
 
Kama kweli ni MD hii ni hatari maana kama uandishi huu hapa kidogo unakushinda je History taking utaweza kweli kupangilia vzr ?
 
Kama kweli ni MD hii ni hatari maana kama uandishi huu hapa kidogo unakushinda je History taking utaweza kweli kupangilia vzr ?
Tunaangamia mkuu

Kuna sehemu tulikosea... Ombwe kubwa

Hawa madogo ni wale waliokua secondary miaka Ile

Tuna kazi kubwa sana
 
Pole young man.

Hope all will turn out just right.

Ila je ikawa ndo gear Yako ya kutafuta tudem humu ndani?

Eti unajimwambafy na ka sredi ka udoctor Ili baadae utulie sredi Love Connect?🤣

Manake tudada nato tunayumbishwaga na ishu za ajabu mnooo.
 
Tunaangamia mkuu

Kuna sehemu tulikosea... Ombwe kubwa

Hawa madogo ni wale waliokua secondary miaka Ile

Tuna kazi kubwa sana
Kwa uandishi huu hatoboi hata kidogo intern maana wanakuwa wanaandika sana je ataweza huyu kupangilia vzr history ya mgonjwa physical exm diagnosis mpk management kweli tena usiombe kwenye surgery na obs and gyn panakera atleast medicine na paed
 
Watu mnapima usmart wa mtu kwa mwandiko wake aisee 😂😂
 
kityu

Yaani pamoja na wadau kukwambia kote uko kuhusu uandishi wako bado unaandika utopolo tu.
Eti "kityu"[emoji848]
Siwezi kumlaumu huyu dogo about mwandiko Ina depend na watu anao interact nao Mara kwa Mara hasa Hawa wa kizazi kipya .. ma group yao ya shule from o level usikute Wana chat hivo na wanaona it is okay

Alichofeli ni clinical , I know about it na shida ya walimu wa bongo

Tusimwongeze mawazo
 
Kama kweli ni MD hii ni hatari maana kama uandishi huu hapa kidogo unakushinda je History taking utaweza kweli kupangilia vzr ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yeah kwa sababu ile iko systematic from demographic data up to management then follow up but Nita improve wadau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe huwezi kuwa MD kwakuwa upo rafu sana
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Not yet bcoz kwa this time mi team baharia
Hope u got me karucee
 
Kwa uandishi huu hatoboi hata kidogo intern maana wanakuwa wanaandika sana je ataweza huyu kupangilia vzr history ya mgonjwa physical exm diagnosis mpk management kweli tena usiombe kwenye surgery na obs and gyn panakera atleast medicine na paed
Uko kote nimepita uzuri Tena na good marks joh na nilixhikwa kwenye pediatric clinical so apo ndo ilikuwa changamoto bcoz theory I got A Safi ila Clinical Sasa ikawa tatizo
 
Watu mnapima usmart wa mtu kwa mwandiko wake aisee [emoji23][emoji23]
Thanks Baba swalehe wajui kuwa are two things different kabisa . Ndo Maan si kila proffesser ni mwandishi wengine are just examiners
 
Tatizo sio mwandiko,tuanzie hapa kwanza

Unasoma chuo gani daktari mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…