Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Siwezi kumlaumu huyu dogo about mwandiko Ina depend na watu anao interact nao Mara kwa Mara hasa Hawa wa kizazi kipya .. ma group yao ya shule from o level usikute Wana chat hivo na wanaona it is okay

Alichofeli ni clinical , I know about it na shida ya walimu wa bongo

Tusimwongeze mawazo
Baba swalehe wish ungekuw karibu nikupee bia mbili za baridi
 
Mdogo wangu pole sana
1.Heb chunguza ulimfanya nn huyo doctor maana inaonekana amefanya makusudi kabisa, na amekutega mahali hamna ushahidi
2. Inawezekana pia matokeo yako ndo yalikua yanamuumiza maana sisi ni binadamu,sikutetei ila unaonekana upo down to earth sio mtu wa makuu
3.ishu ya mkuu wa chuo ni ww ulimwambia au aligundua mwenyewe? hii inaweza kumfanya akakujengea kisasi pia heb iangalie kwa jicho linginine
4.kuna watu vyuoni wanakutana na matatizo makubwa mara kumi yako so sio ishu ngeni sana so jikaze,pambana uvuke hapo kumbuka "vuka yako ndio salama yako"
5.ukimaliza chuo utakuja mtaani,huku mtaani utakutana na walimwengu hao watakuletea real problems achana na hizo za academic ...ila usisahau mdogo wangu hakuna chuo cha kujifunza maisha...maisha tunajifunzia humu humu maishani..komaa

kama una ndoto ya kuwa billionaire kama unavyojiita,unatakiwa uwe na moyo wa chuma..a Heart of steel kama huna anza kuuunda sasa,lkn all in all ruka hichi kikwazo unakiweza na kiko ndani ya uwezo wako

NB: xo,xhio whatever its a non issue to me.
andika unavyotaka cha muhimu nimekuelewa na naamini nimekushauri kidogo, ndo kazi yetu kaka zako

Pole na pambana!

MP
 
Correction: Yeye sio Billionaire/Bilionea
Yeye ni Billioner/Biliona[emoji1][emoji1]
 
Thanks sana Mr maisha popote: kwa ushauri wako but kindly ni kwamba ni mkuu mwenyewe alinitafuta na kuzungumzia matokeo yangu kwenye kikao kama utaratibu wa vyuo vyote vikifungua lazima kuwe na kikao angalau Mara moja per semister kwaiyo ni yeye mwenyew maana kwenye hilo somo mimi ndo niliongoza kwa highest marks theory but clinical ndo nilikuwa the lowest mwenye marks ndogo sana.
Then kuhusu sehemu aliponitega ni kwamba kipindi nafanya ppr, aliniambia do everything (from clerkng up to ends) then atanipa dakik 10 for explaining everything kityu ambacho si utaratibu so apo ndo alivonifelisha kiongozi.
Pia kityu kingine ni kwamba, he hate me with no reason because he always called me Thug (muhuni) but kutoka na status angu yakuwa ni mtu loyal naitikia then nanyamaza ili mradi maisha yaendeleee,
Kuhusu kujiita ilo nickname (bilionaire), that my biggest dreams one niwe bilionaire, I know myself mi hustler joh because ilo Jina nilipewa kipindi naanza chuo kutokana na Sina mkopo wala boom ila maisha nayoisha unaweza Sema nasomeshwa na shirika La Elizabeth.. Grant but I really sense ukwel naujua mimi( ugumu wa maisha yangu na changamoto)
N:B, I don't fake my life napenda kuwa loyal.
 
Daktari hujui hata kuandika kwa utulivu. Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
 
Huwezi kuwa medical doctor,rather unasoma clinical medicine, hata hivyo jibidiishe Sana kwani uwezo wako ni mdogo sana, japo unamlaumu daktari ila ukweli wewe uko chini sana.
Pambana na changamoto zako usije tuulia watanzania huko utakakoenda kutibia.

Sijajua tuna changamoto ya walimu au ufahamu wa hiki kizazi una shida.
Ni kweli, hakuna repeat semester kwa Mds, ila kuna carries.... Huyo sio MD ni muongo.... Hata ushauri hatakiwi kupewa maana kajitungia mambo.... Kama vipi mpe mbususu, yaan principal aongeee na mwanafunzi? Kwa kipi yaan ulichonacho

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Thanks sana Mr maisha popote: kwa ushauri wako but kindly ni kwamba ni mkuu mwenyewe alinitafuta na kuzungumzia matokeo yangu kwenye kikao kama utaratibu wa vyuo vyote vikifungua lazima kuwe na kikao angalau Mara moja per semister kwaiyo ni yeye mwenyew maana kwenye hilo somo mimi ndo niliongoza kwa highest marks theory but clinical ndo nilikuwa the lowest mwenye marks ndogo sana.
Then kuhusu sehemu aliponitega ni kwamba kipindi nafanya ppr, aliniambia do everything (from clerkng up to ends) then atanipa dakik 10 for explaining everything kityu ambacho si utaratibu so apo ndo alivonifelisha kiongozi.
Pia kityu kingine ni kwamba, he hate me with no reason because he always called me Thug (muhuni) but kutoka na status angu yakuwa ni mtu loyal naitikia then nanyamaza ili mradi maisha yaendeleee,
Kuhusu kujiita ilo nickname (bilionaire), that my biggest dreams one niwe bilionaire, I know myself mi hustler joh because ilo Jina nilipewa kipindi naanza chuo kutokana na Sina mkopo wala boom ila maisha nayoisha unaweza Sema nasomeshwa na shirika La Elizabeth.. Grant but I really sense ukwel naujua mimi( ugumu wa maisha yangu na changamoto)
N:B, I don't fake my life napenda kuwa loyal.
Acha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student wakati chuo hujamaliza.
Vijana mnakuwa waongo ndio maana hamsaidiki

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student wakati chuo hujamaliza.
Vijana mnakuwa waongo ndio maana hamsaidiki

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
OK Sawa kiongozi kama mimi ni muongo
 
Si kweli kiongozi fatilia vizuri, umepew ww
 
Not nonsense but Kuna kityu ambacho people uwa wajagundua about Medical people most uwa si waandishi wazuri but not all so am sorry for miss taken
Huo uongo. Huwezi kuwa daktari huwezi kuandika vizuri wala kujieleza. Hizo fix za O level ndo unajaza hapa. Soma dogo, usiishi fantasy.
 
Ni kweli, hakuna repeat semester kwa Mds, ila kuna carries.... Huyo sio MD ni muongo.... Hata ushauri hatakiwi kupewa maana kajitungia mambo.... Kama vipi mpe mbususu, yaan principal aongeee na mwanafunzi? Kwa kipi yaan ulichonacho

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Utaratibu wa vyuo vinatofautia kiongozi ndo maana ata pass marks na GPA the do differ
 
Kuna mtu amegundua dogo mara ajiite Medical mara clinical

Wajuvi mje hapa, yuko sahihi au tunapigwa?
Tunapigwa. Hiyo chai. Huwa hakuna hadithi za theory kwenye medicine.
 
Acha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student wakati chuo hujamaliza.
Vijana mnakuwa waongo ndio maana hamsaidiki

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Ok Sawa kiongozi ila don't judge faster
 
Back
Top Bottom