Mdogo wangu pole sana
1.Heb chunguza ulimfanya nn huyo doctor maana inaonekana amefanya makusudi kabisa, na amekutega mahali hamna ushahidi
2. Inawezekana pia matokeo yako ndo yalikua yanamuumiza maana sisi ni binadamu,sikutetei ila unaonekana upo down to earth sio mtu wa makuu
3.ishu ya mkuu wa chuo ni ww ulimwambia au aligundua mwenyewe? hii inaweza kumfanya akakujengea kisasi pia heb iangalie kwa jicho linginine
4.kuna watu vyuoni wanakutana na matatizo makubwa mara kumi yako so sio ishu ngeni sana so jikaze,pambana uvuke hapo kumbuka "vuka yako ndio salama yako"
5.ukimaliza chuo utakuja mtaani,huku mtaani utakutana na walimwengu hao watakuletea real problems achana na hizo za academic ...ila usisahau mdogo wangu hakuna chuo cha kujifunza maisha...maisha tunajifunzia humu humu maishani..komaa
kama una ndoto ya kuwa billionaire kama unavyojiita,unatakiwa uwe na moyo wa chuma..a Heart of steel kama huna anza kuuunda sasa,lkn all in all ruka hichi kikwazo unakiweza na kiko ndani ya uwezo wako
NB: xo,xhio whatever its a non issue to me.
andika unavyotaka cha muhimu nimekuelewa na naamini nimekushauri kidogo, ndo kazi yetu kaka zako
Pole na pambana!
MP