Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Tunapigwa. Hiyo chai. Huwa hakuna hadithi za theory kwenye medicine.
Aya Bahn kiongozi maana medicine is all about practical wkt 3yrs exactly ni theory tyu ata wodini unaweza usiingie ata kuchukua vital signs uwezi kama aupo serious
 
Jinsi yako ni ipi?maana kama we ni mwanamke ujue anataka rushwa ya ngono kama ni hivyo tumkatishe afukuzwe kazi
 
Aya Bahn kiongozi maana medicine is all about practical wkt 3yrs exactly ni theory tyu ata wodini unaweza usiingie ata kuchukua vital signs uwezi kama aupo serious
Wapi huko 3 years MD umesoma theory tu?

Ndo maana nimekuambia kama ni ndoto yako kuwa MD komaa utoke hapo ulipo usogee.
 
Wapi huko 3 years MD umesoma theory tu?

Ndo maana nimekuambia kama ni ndoto yako kuwa MD komaa utoke hapo ulipo usogee.
Aya double R ila tofautisha clinicals na kwenda kucheza na kadava( kpnd cha anatomy en physiology)
 
kasomo kamoja tu tena paediatric??? Hauko serious.

Chuo gani kwanza. Kampala ndo wana tabia hiyo...
 
Kwa huu mwandiko tatizo si uandishi mbaya au mzuri tatizo unaandika kama mtoto wa form 2 xxxxxx nyingi. Andika upya ndio utapewa ushauri
msiwe vibwanyenye maandishi ya madaktari ndo yalivo afadhali mmeelewa na mmejibu.

Wengine duuuu!!! Utakaa chini....huambuliii kitu. sijui mara
tds.
qid
ante cibos
4/7
Kekundu
Keupe
Nyie watu
mnayajua haya?
 
msiwe vibwanyenye maandishi ya madaktari ndo yalivo afadhali mmeelewa na mmejibu.

Wengine duuuu!!! Utakaa chini....huambuliii kitu. sijui mara
tds.
qid
ante cibos
4/7
Kekundu
Keupe
Nyie watu
mnayajua haya?
Hata sisi wengine tuna rejesta zetu kwenye kazi zetu ila haituzuii kuandika Kiswahili fasaha pale inapohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…