Ulishawahi kushikwa hivyo😀 hata siku moja au ndio unaona leo kwenye picha hujawahi😀

Ulishawahi kushikwa hivyo😀 hata siku moja au ndio unaona leo kwenye picha hujawahi😀

Ujinga wa watoto wa chuo, pole anatoka bush anaolewa chuo bila wazazi kujua akimaliza chuo jamaa anamuacha anagoma kurudi kwao anapanga rum somewhere anaamua kuishi mjini kwa kudanga na kuuza madela na viatu vya kike, pole chuo kinakupeleka puta angalia usipate mimba ukasajiriwa km single mother mpya mjini, pole chuo umekipalamia kwa pupa
 
Ujinga wa watoto wa chuo, pole anatoka bush anaolewa chuo bila wazazi kujua akimaliza chuo jamaa anamuacha anagoma kurudi kwao anapanga rum somewhere anaamua kuishi mjini kwa kudanga na kuuza madela na viatu vya kike, pole chuo kinakupeleka puta angalia usipate mimba utaishia kuongeza idadi ya single mother mjini
Unataka nirudi nikalime, tunabanana hapahapa
 
Huwa najiskia raha Sana mwanamke wangu au mwanamke yyt akatize mbele yangu akiwa kavaa Nguzo ya PENSELI Kama uyo,

Na zimchore vizuri ule mkunjo flani nyuma ya goti, michirizi Kwa mbali uku vile vifundo vya miguu vinang'aa vzur namna hiyo.

Dah!😋
 
Nani wa kunishika jamani
Kiuno cha kushikwa hivyo kwanza unacho!? Usije kua na kiuno kama sanamu la Michelin hadi mikono yenyewe kukutana inakua shida!!? Just joking karibu nikushike mwaya pressure yako ishuke kidogo ufurahie maisha!!
 
Back
Top Bottom