Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Wewe una cha kuongezea kidogo hapa mkuu. Vp kuhusu gharama zake kwa wenzetu Kenya?
 
Unaweza nitajia vituo binafsi vinavyotoa hiyo huduma kiongozi, nina kesi mbili natakiwa nizitatue kabla mwaka haujaisha.
Je, Na vituo binafsi nako kuna utaratibu mpaka uende mahakamani?
Wakuu..siwezi andika jukwaani au kwa mtu tu wanapopima maana hairuhusiwi.

Tanzania Mkemia wa serikali ndiye mwenye mamlaka ya kupima DNA na ni shauri la mahakama au dawati la jinsia.

Wanaopima ni njia za panya... wewe nenda hospitali ya private mvute Dc. Mmoja atakuambia pa kupita.
 
Tanzania hakuna system...hakuna mfumo kabisa.

Binafsi nilishakutwa na hili tatizo bahati nzuri nilipokuwa naishi DNA unapima popote tu.

Wanawake huwa wanafanya maamuzi madogo mabaya saana ambayo huathiri maisha yao yote.
 
Kupima DNA ni laki moja
 
Af cha ajabu anatishia kujiua.. Et nisipokubali atawaambia wazaz wake pamoja na wazaz na ndugu zangu kwann anajiua, then anajitoa uhai.
Mkubalie ajiue tu mdau utue zigo ilo litakupa stress bure..........natamani hiki kisanga chako kingenikuta mie maana kuna mmoja nilimnyoosha haswa mpaka akaja tu kukiri dogo si wangu hapo dogo ana miezi sita toka azaliwe
 
Nililea si unajua kitanda hakizai haramu mchizi 😎
 
Mkubalie ajiue tu mdau utue zigo ilo litakupa stress bure..........natamani hiki kisanga chako kingenikuta mie maana kuna mmoja nilimnyoosha haswa mpaka akaja tu kukiri dogo si wangu hapo dogo ana miezi sita toka azaliwe

Hongera kwa kulivuka jambo hili, maana saivi linaninyima raha kabisa.. Sina Aman na maisha yangu tena!
 
Mi binafsi niko tofauti na unavyowaza. Swali namba 1 nadhan alikuwa ana ujauzito wako kweli ila bado alikuwa anafanya utafiti kujua iwapo atazaa na wewe ukamuacha ataweza kupata mwanaume atakaekubali kulea mtoto asie wake!

Hivyo alikutumia kama sample kujua wanaume mnalichukuliaje suala hilo. Lakini pia inaoneka hueleweki kama upo nae kwa muda au chapa ilale ndio maana hata ulipojua ana mimba bado aligoma kukuambia ukweli/kupima ili ajue kama AKWAMBIE au AITOE ila akapata shauri la bora aibebe tu liwalo na liwe. Na kama ungekuwa na muelekeo unaoeleweka kwake angekwambia wazi tangu alipohisi dalili za ujauzito.

Binafsi hicho ndicho nilichokugundua kutoka kwenye mada yako. Na ukweli mabinti wengi wakipata mimba kwa mtu ambae haonyeshi hata dalili za kuishi wote/kumuoa huwa wanawaza "NI MWANAUME GANI ATAMPENDA IKIWA KAZALISHWA NA KUTELEKEZWA?"

Usimuhukumu mapema wakati ulikuwa unamwagia ndani.

Jitafakari zaidi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…